Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

*Nina maumivu makali ya nyonga *Maumivu makali chini ya kitovu (kwa pembeni) *Mkojo ni wenye harufu mbaya kupita kiasi *Nilishaweka mkojo kwenye container, kesho yake nikakuta unatoa wadudu...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Ndugu zangu Watanzania, Mwamba Makonda hapoi wala hakauki midomoni mwa watanzania.ni mtu na kiongozi wa kugonga na kuteka vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kila uchwao utafikiri field...
1 Reactions
13 Replies
160 Views
Hivi kwenye swara la stories of change inaruhudiwa kuweka chapisho zaidi ya moja
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Nililazimika kuwajulisha wazazi wake kwamba binti yenu ana hasira za mlipuko ili wajue mtu wa aina gani naishi nae hi ilikuwa simu ya pili anapasua kwasababu za kijinga eti kwanini sipokei simu...
5 Reactions
99 Replies
1K Views
Inasemekana, Naibu Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Kenya, Jenerali Ogolla, alitumwa kuzuia Ruto asitangazwe kuwa mshindi wa kiti cha Urais Kenya, lakini azma hiyo haikufanikiwa. Viongozi wa...
0 Reactions
6 Replies
110 Views
Malaika Gabriel, Raphael, Gadiel, etc Jini Sharif, Maimuna, etc Kwanini?
14 Reactions
92 Replies
847 Views
Habari wakuu, nmeona kipindi cha ripoti maalum ITV kuhusu mikopo kausha damu. Malalamiko ni mengi sana licha ya kuwepo kwa uhitaji wa mikopo na wengine kufikia hatua ya kuomba hii mikopo...
1 Reactions
12 Replies
540 Views
Zitto Kabwe amewashangaa wale ambao wanahoji kuhusu Muungano hasa huku Bara akisema hawajui kitu kwani wanaotakiwa kuhoji ni Wazanzibar. Zitto ambae ni mtaalamu wa kujenga hoja Kwa takwimu...
3 Reactions
176 Replies
3K Views
Football ya Tz ina mambo mengi sana nje na ndani ya uwanja, kwa sasa yanga wana watu bora sana nje ya uwanja na ndani ya uwanja, wana pesa na nguvu pia katika serikali. Ikitokea mchezaji mzuri...
1 Reactions
5 Replies
6 Views
Wakati Watanzania wanaendelea kula Dozi ya Ubongo( Brain Vitamins) kutoka kwa Wakili Nguli na Mpigania haki Mh Makamu Mwenyenyekiti wa Chadema kwenye ziara zake. Mh Lissu ambaye yuko ziarani ktk...
12 Reactions
33 Replies
801 Views

FORUM STATS

Threads
1,850,421
Posts
49,546,163
Members
667,458
Latest member
Popa900
Back
Top Bottom