Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wanajamii habari zenu wote. Polen wadau kwa Mihangaiko za hapa na pale, Ndugu zangu najua huku kuna wakulima wazuri japo wapo pia paper farmers lakini najua mkulima wakweli akitoa ushauri huwa...
1 Reactions
39 Replies
10K Views
Nina maumivu makali ya nyonga Maumivu makali chini ya kitovu (kwa pembeni) Mkojo ni wenye harufu mbaya kupita kiasi Nilishaweka mkojo kwenye container, kesho yake nikakuta unatoa wadudu (Funza)...
0 Reactions
35 Replies
506 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
513K Replies
29M Views
Wakuu nisaidieni kunipa mbinu,nina ka mtaji kama laki hivi nataka daka mitumba kadhaa na kupita nayo kitaa kuizungusha, Mm ni mgeni mwanza ila nataka hii iwe starting point yangu ya kuijua...
2 Reactions
12 Replies
144 Views
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dr. Hussein Ali Mwinyi amesema kuwa Wafanyakazi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wataongezewa posho ya shilingi elfu hamsini (50,000) ya...
4 Reactions
32 Replies
1K Views
Mzuka wanajamvi Hii ndio Familia tajiri kuliko zote duniani. Ni familia Nahyan ya kifalme kutoka Falme za kiarabu UAE ambayo inahodhi biashara na siasa katika ghuba, duniani na ndio familia...
5 Reactions
18 Replies
463 Views
Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha. Mtume Boneface Mwamposa (Bulldozer) amefafanua kwa ufasaha maana ya "sadaka ya kujimaliza" inayotolewa na waumini wa kanisa lake baada ya kupokea...
24 Reactions
163 Replies
8K Views
Una kituko umekiona mtandaoni, tushirikishane hapa…
103 Reactions
220K Replies
16M Views
Juzi niliudhuria send-off Moja mkoa X, Huyu Binti ni mwenyeji wa huo mkoa, sasa alipata mchumba mkoa mwingine na alikubali kuolewa, aliyekuja kumuoa alimwambia direct kwamba nataka kukuoa, yule...
2 Reactions
29 Replies
296 Views
Dakika kumi zilizopita nilikuwa nimekaa chini ya mti nakula upepo, mara ghafla kamjusi kadogo kakaanguka kutoka mtini na kutua shingoni. Kamening'ata na sasaivi shingo imeanza kuwasha na kuvimba...
0 Reactions
0 Replies
1 Views

FORUM STATS

Threads
1,850,464
Posts
49,547,338
Members
667,478
Latest member
ramadhanramadhan
Back
Top Bottom