Hadi sasa bado umasikini ni janga la taifa na mtu mmoja mmoja.
Ukiacha CCM ambayo wanasiasa wanailaumu kwa kukaa madarakani miaka mingi na bado shida ziko palepale jamii mpya imeibuka inalaumu...
Dhana kuwa mambo hufuata watu ndani ya ukoo ina ukweli wake na mifano yake ipo wazi tu, tukiachana na mfanano wa vinasaba pia hata mazingira huchangia hali hiyo japo kwa ulimwengu wa kiroho...
NILIEMDHANIA NI KAHABA KUMBE BIKRA
MTUNZI:SINGANOJR .
AGE:18+
NB:SIMULIZI HII NI YA KUTUNGA
PDF KUTOKA SEHEMU YA KWANZA MPAKA YA 390 IPIO NITAFUTE WATSAPP 0687151346
PROLOGUE../DIBAJI...
Hili ni tukio kubwa na yeye ndio muhusika mkuu na ndio mwajiri mkuu kama sikosei kwa watumishi wa umma.
Swali ni je, yuko wapi na anafanya nini au nini kimemsibu?
Tazama na sikiliza kwa makini mwanzo mwisho video clip hii fupi ya dakika 16 Tundu Lissu akijibu hoja ya ubaguzi na matundu ya muungano wa Tanganyika & Zanzibar (1964) kwa kutumia katiba mbili za...
Msanii mkongwe na miongoni mwa washairi wakubwa nchini na Afrika Mashariki, Amir Sudi Andanenga amefariki dunia usiku wa Mei Mosi, 2024.
Kwa mujibu wa tangazo lililotolewa na Chama cha Usanifu wa...
Full name: Arsenal Football Club
Nickname(s): The Gunners
Founded: 1 December 1886
League: Premier League
Website: arsenal.com
Ground: The Emirates Stadium, (Capacity: 59,867) - Pitch...
Habari,
Lengo sio kujitamba Bali ni kupeana chachu ya kuendelea kupambana. Leo nimefikisha 50ml lengo langu mwaka huu ni 65ml kutokana na saving zangu.
Sihitaji high return business bora nipate...
Na hasa ukizingatia katika wanachuo kumi wanaohitimu ni wawili tu wanaajiriwa basi ni dhahiri wengi yafaa waandaliwe na mwalimu makini kwenye suala la ujasiriamali.
Kwenye kozi kibao vyuoni za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.