Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wazee wa zamani waliona mbali sana kifikra kuhusu maisha. Awakuruhusu watoto wao watumie chombo kimoja cha usafiri, wakae pamoja au kuambatana mara kwa mara; waliogopa kuteketeza familia at once...
31 Reactions
122 Replies
8K Views
Muundo wa Muungano wetu, hata kwenye mantiki ya kawaida una kasoro kubwa. Na kasoro hizo zipo wazi kwa kila mwenye akili timamu. Siyo kweli kuwa CCM na Serikali yake hawazioni au hawazijui hizo...
1 Reactions
7 Replies
42 Views
NILICHOJIFUNZA KWA CHRITINA Nimejifunza mambo haya kwenye hili 1. MAAMUZI SAHIHI AMEYAFANYA WAKATI USIO SAHIHI yapo maamuzi yanaweza kuwa sahihi ila yakafanyika wakati usio smawil Maamuzi sahihi...
5 Reactions
41 Replies
1K Views
Roho wa Mungu ametamalaki juu yangu na kunituma kuandika huu uzi ili kuokoa ndoa na mahusiano yanayokaribia kuvunjika kwa jambo alillolitengeneza Mungu. Ninaongea na wewe mwanaume ambae...
45 Reactions
108 Replies
7K Views
WAZIRI WA ULINZI NA JKT AMKABIDHI GARI MOJA JENERALI CHELESTINO MSOLA (MSTAAFU) Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) tarehe 30 Aprili, 2024...
0 Reactions
8 Replies
295 Views
Hii inshu ya mwanamke ishi nae kwa akili kwako imekaaje? maana imenifanya nitafakari sana kiutani lakini kwamba ukiacha kutafuta tu pesa basi tuakikishe tunafuta na akili, eeh hapo hapo tutulie...
4 Reactions
23 Replies
1K Views
Miaka ya hivi karibu jamii ya Wakinga ni kama imeamua kuwa serious kupambana na umaskini. Those guys are true hustlers wenye umoja wa ndugu jamaa na marafiki. Unfortunately maneno yamenza mara...
30 Reactions
185 Replies
5K Views
Amani iwe nanyi. Huwa nikiiangalia hii timu ya simba na aina ya wachezaji wake wa sasa hivi kisha nikiilinganisha na ile simba ya kampa kampa tena ya Kocha Patrick Aussem au Didier Da rosa huwa...
9 Reactions
24 Replies
473 Views
Maisha hapa duniani kila sehemu kuna wazuri na wabaya, katika hali ya kawaida tunapokuwa na wake, wapenzi, na wachumba, huwa hatuwafugi wala kuwachunga kama mifugo, na pia katika maisha kuna kuwa...
7 Reactions
86 Replies
5K Views
Kumetokea patashika ya kisiasa tangu Tundu Lissu aushambulie muungano wa Tanzania kwenye kona ya kumgusa Rais Samia Suluhu kama mzanzibar katika kuamua (kikatiba) mambo mahususi ya watanganyika...
6 Reactions
28 Replies
508 Views

FORUM STATS

Threads
1,849,996
Posts
49,534,773
Members
667,303
Latest member
kitenge ahmad ally
Back
Top Bottom