Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wadau huu ukimya wa mchakato wa kuanza upatikanaji wa Katiba Mpya na tume huru ya uchaguzi ni ushahidi tosha kuwa hakuna kinachoendelea. Na haya matukio ya bandari n.K ni mbinu za ucheleweshaji...
4 Reactions
11 Replies
772 Views
Penzi ni kikohozi, tunaandika kama mzaha lakini madhara yake ni makubwa sana. Hii inawahusu zaidi wavulana kwa sababu wao ndio wenye maamuzi ya kuoa. Ewe kijana sikiliza kwa makini ukimpata...
28 Reactions
106 Replies
1K Views
Ama kweli: KNOWLEDGE IS POWER. Kama haya ndiyo matusi tunayoambiwa na kina Makonda, basi iko shida mahali bila shaka. Yaani ukweli kwa hawa ndugu zetu, kwao ni matusi. ============= Tukirudi...
14 Reactions
67 Replies
3K Views
Kwa kweli mzee wa watu anatia huruma hana wa kumsemea ameamua kunyamaza, ila nadhani akifungua mdomo Tina atatafuta pa kujificha. Tina kila siku ni kumchamba mzee wa watu, yaani ukae kwenye ndoa...
48 Reactions
303 Replies
7K Views
"Leo tuna miaka 60 tukiitwa Tanzania, ndiyo maana tuna rais ambaye ni mzanzibari, siyo mtanganyika. Anaweza kwenda ngorongoro akatoa amri kwa wanajeshi hawa, akasema fukuza wamasai wote ngorongoro...
11 Reactions
56 Replies
2K Views
  • Sticky
Full name: Liverpool Football Club Nickname(s): The Reds Founded: 3 June 1892 League: Premier League Website: LiverpoolFC.com Ground: Anfield, (Capacity: 54,074) - Pitch 101m x 68m...
124 Reactions
143K Replies
7M Views
Wasalaam Mara nyingi huwa nasikia huko Bungeni na kwa wanasiasa mbalimbali kwamba, Muungano wetu ni wa kipekee, umezifanya nchi hizi mbili kuwa na mambo ambayo hayawezi kuingiliana na yale...
1 Reactions
2 Replies
326 Views
Salam Wakuu, Tumemuona Waziri wa Habari, Teknolojia na Mawasiliano akimkemea na kumwagia shombo Lissu ndani ya Bunge kua Lissu amefanya ubaguzi kumuita Rais Samia mzanzibari ambae anatawala...
4 Reactions
4 Replies
247 Views
Wakuu bila shaka mnaendelea vyema. Baada ya kuwaza Thread 'Nawekezaje bumu linisaidie kulipa ada?' Nawekezaje bumu linisaidie kulipa ada? Nikaona thread ya jamaa humu akielezea kwamba unaweza...
6 Reactions
33 Replies
754 Views
Nimeona kabisa kwa jicho la tatu kuwa anayetufaa hivi sasa kutupeperushia bendera ktk uchaguzi ujao awe Profesa Kitila Mkumbo , Huyu atatufaa sana na ni mtu wa hoja zilizo shiba haswa mfano hili...
1 Reactions
51 Replies
452 Views

FORUM STATS

Threads
1,849,861
Posts
49,530,131
Members
667,250
Latest member
sir dick
Back
Top Bottom