Tundu Lissu akielezea kuhusu muungano wa mchongo.
Aelezea kuhusu wapinga muungano wa kizanzibari kutekwa na kuwekwa vizuizini, Jumbe na wenzake.
Sikilizeni hapa cheche zake.
Hichi kisa nimekikumbuka kilinitokea miaka mingi nyuma kama 7 ++ so sio currently event
Nilikua na Demu wangu mmoja hivi sasa kila nikikutana nae naishia Goal Moja tuu yaani siendelei tena...
"Leo tuna miaka 60 tukiitwa Tanzania, ndiyo maana tuna rais ambaye ni mzanzibari, siyo mtanganyika. Anaweza kwenda ngorongoro akatoa amri kwa wanajeshi hawa, akasema fukuza wamasai wote ngorongoro...
Mkutano wa Wadau kuhusu Wajibu wa Vyombo vya Habari katika Kuhakikisha Uchaguzi wa Kuaminika (Agenda for Stakeholders’ Conference on the Role of the Media in Ensuring Credible Elections)...
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba, ile wiki ya Maandamano awamu ya kwanza, inahitimishwa leo, ambapo Mjini Morogoro kunafanyika maandamano yenye lengo la kupinga Ugumu wa Maisha na Sheria mbovu za...
Wakuu, imekuwa ni adimu sana kuona Wabongo tukishikana mikono ili kuvuka hatua moja kwenda nyingine yenye mafanikio. Tumezoea kupambana wenyewe na wengi wetu huwa hatupo wazi inapokuja suala la...
Dhambi kubwa aliyofanya Nyererew ni kuiacha katiba ambayo mwenyewe kwa kinywa chake alisema katiba hii akiipata dictator, ataumiza sana watu/ WATANZANIA/WATANGANYIKA. Kwa vile ilikuwa inampa...
Ndugu zangu Watanzania,
Nauliza kwa uchungu mkubwa sana kuwa ofisi ya msajili wa vyama vya siasa ipo wapi? Inafanya kazi gani? Imelala wapi huko usingizi wa pono mpaka inashindwa kuona hatari...
1. Vyuo vikuu au taasisi za elimu ya juu ni sehemu nyeti kwa usalama wa taifa kama ilivyo kwa jeshi na sehemu zingine kama hizo.
2. Ni ukweli usiofichika kuwa "bongo" bora kabisa katika nchi...
locations TANZANIA DSM HQ
Tanzania Default Location
time type Full time
job requisition id 30062704
Dreaming big is in our DNA. It’s who we are as a company. It’s our culture. It’s our heritage...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.