Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Kuna tetesi madini yamekuwa yakinunuliwa kwa kasi ktk mikoa ya Geita na Shinyanga na wafanyabiashara wasio wazalendo.
Wafanyabiashara hao hupewa mitaji na serikali ya Rwanda japo wao ni...
Nawashauri vijana WANYAKE MASOKO MAWILI TU MAKUUUBWA SANA NA YOTE YATAMEZA VIJANA WOOTE WAKIACHA UVIVU.
1. CHINA WAMETUPA SOKO LA SOYA BEANS la ukubwa wa tani 400,000 kila mwaka Tanzania kwa...
Nimekuwa natumia usafiri wa basi kwenye shughuli za kujenga nchi yetu, lakini abiria kwenye mabasi wananuka sana hapa Dar es Salaam angalau wa Posta makumbusho labda kutokana na kazi zao.
Kwa...
Hichi kisa nimekikumbuka kilinitokea miaka mingi nyuma kama 7 ++ so sio currently event
Nilikua na Demu wangu mmoja hivi sasa kila nikikutana nae naishia Goal Moja tuu yaani siendelei tena...
Uchambuzi wa ACT Wazalendo kuhusu mpango wa bajeti wa Wizara ya katiba na sheria kwa mwaka wa fedha 2024/25.
Utangulizi.
Tarehe 29 April 2024 Wizara ya katiba na sheria iliwasilisha hotuba ya...
Kama mbwai na iwe mbwai, watu wameruhusiwa kuhamia Marekani wanashindwa kuvumilia na kuanzisha choko choko zao kwenye nchi za watu, na bila aibu wanaandamana kuunga mkono magaidi wa HAMAS wenye...
Mama Mchaga, baba Mngoni Arusha.
Nimewahi kuwa Changudoa, nilifanyia Nairobi Kenya. Rejea kisa katika NILIWAHI KUWA CHANGUDOA- JE, NIMJULISHE
LEO NAZUNGUMZIA KUFIKA KWA MWANAMKE kupitia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.