Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nimekuta na si mara moja, mwanamume anamchapa mtoto wake kuwa hataki kwenda "chuo"! /Madarasa. Nikamsihi asimchape mtoto (about4-6 yrs) hivyo. Akasema chuo ni lazima, kwingine wala sitamchapa...
3 Reactions
47 Replies
867 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
924 Reactions
1M Replies
40M Views
Tanzania ni miongoni mwa nchi zenye Sheria inayoruhusu Adhabu ya Viboko kwa Wanafunzi Shuleni licha ya adhabu hiyo kutajwa na kupigwa marufuku kwenye takriban Mataifa 51 ikielezwa kuwa ni ya...
2 Reactions
26 Replies
326 Views
Sote tunafahamu na tunatambua kuwa uchawa (chawaism) upo katika nchi hii na katika ngazi tofauti za uongozi, lakini kitendo cha mtu kuonyesha uchawa uliopitiliza ni zaidi ya uzwazwa. Nilipomsikia...
8 Reactions
82 Replies
2K Views
Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
41 Reactions
50K Replies
3M Views
NAMUNGO vs SIMBA | kabumbu itasakatwa leo saa 12:00 jioni katika Dimba la Majaliwa, Ruangwa mkoani Lindi. Jongea kwenye uzi huu, kunyaka kitakachojiri kabla na wakati wa mchezo. Unadhani nani...
4 Reactions
131 Replies
3K Views
Computer yangu aina hp desktop haiwaki imeanza juzi ilikuwa inawaka na kujizima hapo hapo jana nikaiwasha ikawa inaonekana elimewaka lakini hai display chochote kwenye monitor na pia feni ya...
0 Reactions
2 Replies
51 Views
Nimepata conditional admission vyuo mbalimbali. Courses ni masters ya leadership na education leadership. Uingereza nimepata vyuo vinne. Sweden chuo 1 Finland 1 Poland 1 Tatizo ni uwezo wa...
4 Reactions
45 Replies
1K Views
Changudoa home Arusha, baba Mngoni, mama Mchagga Ilikuwa hivi; baba na mjomba waliwekwa Korokoroni kwa kesi ya ujambazi tukiishi na kusoma Arusha. Mimi na wadogo zangu wawili kuna siku ghafla...
20 Reactions
587 Replies
61K Views

FORUM STATS

Threads
1,849,897
Posts
49,531,484
Members
667,268
Latest member
peter one
Back
Top Bottom