Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Uhuru na Umoja ndugu zangu watanzania. Naomba tutambuane tunaoenda kwenye Mazishi ya Dr. Mengi maana Kuna nafasi za wanaosafiri kwenye mojawapo ya ndege zilizotolewa na Umma wa Watanzania lakini...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
mtaani, ofisini na kwenye mishemishe watu wanakuheshimu kama baba Paroko .. Ila moyoni unasema laiti wangejua ! Wasingenipa hata hizo heshima (simaanishi wakudharau) Ila unajikuta watu...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Ndugu zangu Watanzania, Nauliza kwa uchungu mkubwa sana kuwa ofisi ya msajili wa vyama vya siasa ipo wapi? Inafanya kazi gani? Imelala wapi huko usingizi wa pono mpaka inashindwa kuona hatari...
-1 Reactions
93 Replies
1K Views
Ndugu wana nzengo amani iwe kwenu. Leo kuna jambo naomba tushirikishane uzoefu limeniumiza kichwa muda mrefu sana. Katika maisha yangu nimebahatika kuishi na wazungu kwa ukaribu sana kiasi...
19 Reactions
122 Replies
8K Views
Watu wa tatu wanahofiwa kufa katika ajali ilitotokea usiku huu maeneo ya Mwisho wa lami Buza. Gari hiyo aina ya Scania tanker imefeli kona na kuwaparamia wafanya biashara waliokua pembezoni mwa...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Kwa kweli mzee wa watu anatia huruma hana wa kumsemea ameamua kunyamaza, ila nadhani akifungua mdomo Tina atatafuta pa kujificha. Tina kila siku ni kumchamba mzee wa watu, yaani ukae kwenye ndoa...
31 Reactions
135 Replies
3K Views
Ofisi ya Taifa ya Takwimu Imetoa data zinazoonyesha Ukubwa wa Uchumi Kwa Kila mkoa Kwa Tanzania Bara Kwa mwaka 2022. NBS imechapisha kitabu Cha Hali ya Uchumi wa Taifa mwaka yaani Tanzania in...
11 Reactions
222 Replies
17K Views
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari wa Tanzania, Nape Nnauye amelaani vikali kauli iliyotolewa na Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu kuhusu madai ya Rais Samia kuwaondoa...
11 Reactions
114 Replies
4K Views
Huyu jamaa hapo mail Moja kwenye kibanda Cha tiketi mwendokasi anazingua.Ukimpa pesa cheji anasema hana na ni lazima abaki na 100,200 au 50 tshs.Watu wanalalamika sana.Mbona kule stand hakuna...
6 Reactions
18 Replies
1K Views
Yaani nchi hii imejaa viongozi ambao ni wezi, majambazi, na vibaka wakubwa! Hawa watu kwa sheria za China adhabu yao ni kunyongwa! Dp world ndani yake ni mtiririko wa viongozi wetu tuliowaamini...
3 Reactions
13 Replies
812 Views

FORUM STATS

Threads
1,849,729
Posts
49,526,277
Members
667,225
Latest member
nassoromtangi
Back
Top Bottom