Mkata tiketi Kibaha Mail Moja

Huyu jamaa hapo mail Moja kwenye kibanda Cha tiketi mwendokasi anazingua.Ukimpa pesa cheji anasema hana na ni lazima abaki na 100,200 au 50 tshs.Watu wanalalamika sana.Mbona kule stand hakuna longolongo hizi? Mamlaka za UDART zimwangalie huyu mtu analipaka matope shirika.

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
ndo urefu wa kamba yake atiii
 
Hospital za serikali nyingi wana hiyo tabia,duka la dawa hata uhudumiwe jioni ila "chenji" ya 200 au 100 hawana na siku ukienda na pesa kamili anakuwa pilipili bila hata sababu.
 
Huyu jamaa hapo mail Moja kwenye kibanda Cha tiketi mwendokasi anazingua.Ukimpa pesa cheji anasema hana na ni lazima abaki na 100,200 au 50 tshs.Watu wanalalamika sana.Mbona kule stand hakuna longolongo hizi? Mamlaka za UDART zimwangalie huyu mtu analipaka matope shirika.

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
Watu wanakomesha wanaenda ten daily sasa chenji shida .....tafadhali nenda nauli kamili
 
Pawekwe daftarii kwa anaeacha chench
Yule alokuwa na utaratibu wa kadi akasimamishwa alikuwa ashaona mbalii ila changamoto

Nyumba za ibada watu hawatoi mwekunduu ... Mwendo wa jero, mbiliii na bukuu
 
Makonda wa hivo wanazingua sana,shida ni kwamba wew umpe nauli ipelee hiyo 50 au 100 hakuelewi,huwa wanataka ile kwako tu siyo kwake!
 
Back
Top Bottom