Triple C mwamba wa Lusaka kaondoka kambini bila ruhusa baada ya uongozi wa Simba kutompa posho ya kombe la muungano.
Pia ana dai kuwa kwenye mkataba wake walikubaliana kila Simba iki chukua kombe...
Tatizo kubwa linaloikabili Ukraine kwa sasa ni kukosekana kwa nguvu kazi ya kuendeleza vita .Hilo linafuatiwa na upungufu mkubwa wa silaha.
paomoja na kuzuiwa watu wenye umri wa miaka 18-60 kutoka...
salamu wanandugu,
Kama kichwa cha uzi .
Niliona video katika mitandao ya kijamii ikizunguka sana (viral video) ,ikimuonyesha Harmonize na Mwakinyo wakitishiana kupigana . Ila ukweli kabisa pale...
OFA YA BUSINES CARD PC 30 KWA TSH 3000, BADO INAENDELEA
PC 100 NI 10,000.
KWA NINI UWE NA BUSINEA CARD ZAKO?
1. ZINAOKOA MUDA KATIKA KUBADILISHANA MAWASILIANO
2. ZINAKUFANYA UWE NADHIFU KATIKA...
Huu ndio ukweli mchungu watanzania wengi wamewahi kwenda kwa wataalam ila huwa ni siri ya kufa nayo kaburini, hakuna atayekubali kama ameenda au huwa anaenda kwa mganga
wahalifu hasa wa...
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Mwenye kujua kiwango cha juu kabisa cha Elimu ya Mtangazaji Nguli Maulid Mbaraka Kitenge atujuze.
NB: Hapa usitaje elimu ya dini, nazungumzia elimu hii ya dunia.
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya.
Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.