Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Triple C mwamba wa Lusaka kaondoka kambini bila ruhusa baada ya uongozi wa Simba kutompa posho ya kombe la muungano. Pia ana dai kuwa kwenye mkataba wake walikubaliana kila Simba iki chukua kombe...
1 Reactions
12 Replies
228 Views
Tatizo kubwa linaloikabili Ukraine kwa sasa ni kukosekana kwa nguvu kazi ya kuendeleza vita .Hilo linafuatiwa na upungufu mkubwa wa silaha. paomoja na kuzuiwa watu wenye umri wa miaka 18-60 kutoka...
0 Reactions
2 Replies
3 Views
salamu wanandugu, Kama kichwa cha uzi . Niliona video katika mitandao ya kijamii ikizunguka sana (viral video) ,ikimuonyesha Harmonize na Mwakinyo wakitishiana kupigana . Ila ukweli kabisa pale...
0 Reactions
13 Replies
221 Views
OFA YA BUSINES CARD PC 30 KWA TSH 3000, BADO INAENDELEA PC 100 NI 10,000. KWA NINI UWE NA BUSINEA CARD ZAKO? 1. ZINAOKOA MUDA KATIKA KUBADILISHANA MAWASILIANO 2. ZINAKUFANYA UWE NADHIFU KATIKA...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Steve na Ndaro ni Wachekeshaji wanaokuja kwa Kasi sasa katika Komedi na ukiwatizama usipocheka basi Umerogwa.
1 Reactions
4 Replies
5 Views
Huu ndio ukweli mchungu watanzania wengi wamewahi kwenda kwa wataalam ila huwa ni siri ya kufa nayo kaburini, hakuna atayekubali kama ameenda au huwa anaenda kwa mganga wahalifu hasa wa...
4 Reactions
26 Replies
387 Views
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
266 Reactions
162K Replies
4M Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
512K Replies
29M Views
Mwenye kujua kiwango cha juu kabisa cha Elimu ya Mtangazaji Nguli Maulid Mbaraka Kitenge atujuze. NB: Hapa usitaje elimu ya dini, nazungumzia elimu hii ya dunia.
25 Reactions
274 Replies
22K Views
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya. Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
112 Reactions
382K Replies
10M Views

FORUM STATS

Threads
1,849,420
Posts
49,518,911
Members
667,102
Latest member
nicolaus9991
Back
Top Bottom