Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Ni alfajiri chungu mno, nawakumbusha nyie vijana ambao bado hamjaoa, mkitaka kuoa oeni kwenu, nyie mnaosoma vyuo mkitaka kuoa oeni mikoa ya kwenu. Note: TAFADHALI USIOE BINTI WA...
28 Reactions
141 Replies
7K Views
Nchi ya Namibia imetangaza kugundua kiasi kikubwa Cha Mafuta katika Pwani ya Nchi hiyo. Kwa mujibu wa kampuni ya Utafiti ya Kutoka Ureno ya Galp Energia inasema awamu ya kwanza ya matokeo...
5 Reactions
22 Replies
1K Views
  • Sticky
Nimetafuta humu sikuona special thread kwa ajili ya series ila movies. Kwa wale wapenzi wa series tujadili hapa series tulizoona na ilivutia,pia wengine ambao hatujui baadhi ya series tunaweza...
68 Reactions
23K Replies
2M Views
Gazeti la mwananchi lilianzisha kura za mtandaoni ama poll ya kuuliza wadau ni sera za kiongozi yupi wa Tanzania kati ya Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia wanazozikubali. Matokeo ya kura...
82 Reactions
604 Replies
15K Views
Mkeo huwa anaoshwa miguu kisha kukaushwa na wataalamu wa kusafisha kucha? Hii huduma imekuwa maarufu sana kwa wamama wa mjini, na wengi wao huwa wanapata huduma waume zao wakiwa kazini. Mdau...
5 Reactions
111 Replies
12K Views
Wakuu habari, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 21 sasa, niko chuo X. Naomba niende straight kwenye point wakuu maana nahitaji msaada wa haraka sana. Nimetokea kumpenda binti flani ambaye niko...
1 Reactions
42 Replies
159 Views
Iko hivi hawa mke na mme wanaishi nchi tofauti ila hapo nyuma walipendana sana tena sana na.wana watoto kadhaa. Sasa mme akapata michepuko hapa Tanzania. Na kuna mchepuko aliupenda sana sana...
4 Reactions
48 Replies
3K Views
Ni Katika sherehe za miaka 60 ya Muungano Ngoja nifanye Mpango wa kuweka picha husika kutoka kwa Liberatus ukurasani X Mlale Unono 😄😄
5 Reactions
39 Replies
1K Views
Nina mchumba wangu ambae kiukweli nampenda na mpaka sasa tuna miaka 3 katika mahusiano. Tuliishi vizuri japo yeye yupo kijijini kwani tulianza mahusiano akiwa bado shule nkamvumilia bila...
3 Reactions
76 Replies
8K Views
Vijana wa mjini Arusha wajulikanao kama Wadudu wamemuhakikishia mkuu wa mkoa huo mh Paul Makonda kwamba Wataujaza uwanja Siku ya Mei Mosi na Wanahamasisha Wana Arusha wote wawepo Uwanjani Makonda...
0 Reactions
2 Replies
3 Views

FORUM STATS

Threads
1,849,138
Posts
49,509,375
Members
666,982
Latest member
nyamwitanga
Back
Top Bottom