Najuta lakini kwanini nliingia kichwa kichwa ushauri wenu jamani.

scientificall

JF-Expert Member
Jun 4, 2015
454
314
Nina mchumba wangu ambae kiukweli nampenda na mpaka sasa tuna miaka 3 katika mahusiano.

Tuliishi vizuri japo yeye yupo kijijini kwani tulianza mahusiano akiwa bado shule nkamvumilia bila kumualibia katika masomo yake mpaka akamaliza mwaka jana mwishoni nami nkawa nimehitimu masomo yangu na kupata kazi.

Sasa ni wakati wa kufanya maandalizi kwa jili ya kumuoa na kuishi pamoja.

Ila sasa................. kitu inaniumiza kichwa mpaka najuta na kuwaza nfanye nini ni hichi....
Kipindi nipo chuo niliwaogopa sana mademu wa chuo na nilijiweka mbali nao saana kutoka na historia ya mabinti wajao chuo nlichokuwa nasom.

Kwakuwa nlikuwa mbali na mpenzi wangu basi nikiwa mwaka wa 3 mwishoni nlioamua kutafuta demu wa mtaani asie mwanachuo angalau niweze kupunguza uzito na sumu mwlinin maana hali ilikuwa ngumu kweli kutokana na mchanganyiko wa mabinti wa kila shape hapo chuoni.

Nilimpata binti na kumtupia sound akaingia kingi basi maisha yakaanza kusonga mdogomdogo. Kiukweli demu anashape nzuri na analipa kwa wale wazee wa misambwanda.
Ila mimi lengo langu lilikuwa ni kuwa namega kidogokidogo na huku nikimsikilizia mchumba wangu ambae ndo awe wife.

Kadri siku zilivyosonga mbele huyu demu akawa anazidi kuzimika kwangu kwa kunisifia sana na kunishawishi tukapime ili tuwe tunaenda kavu kavu. Binafsi roho ilikataa kwa kujua huyo asingekuwa wife baadae.

Nlivyo maliza chuo nkaanza kuonesha dalili ya kungatuka kwani nlimpotezea wiki 3 hivi na ushee lakini siku akantafuta mwenyewe akaomba tukutane nami nkajipanga kuwa nimpige cha mwisho ili nimteme mazima baada ya kumaliza mchezo demu akaanza kujishusha huku akiomba msamaha eti alipoteza simu hvyo ndo maana alikuwa kimya..

Mwanaume nkagundua kitu na kutafuta mbinu nyingine ya kumtoka..

Baada ya kuachana nae nkapiga wiki 1 bila kuonana wala kuwasiliana nae. Siku nkaenda kusalimia home mara paa huyu hapa tena usiku anaenda sokoni mzee nkampa hi akaomba aje anisalimie kidogo usiku ule.

Alipokuja kiukweli sikumfanya chochote tukapiga story then akaondoka.

Sasa jana alinipigia simu kuwa anaumwa ana kama siku 5 nkamsalimie hata kama sijamtafuta siku nyingi nimeenda kumbe ilikuwa mbinu ya kunkamata nimefika kwao hakuna mtu yupo yeye tu na yupo fiti wala aumwi baada ya maongeza kaniingiza mtegoni mtoto kajilegeza kama kawaida yangu nkapiga mzigo.

Sasa roho yangu imekuwa nataka sitaki kwani bado mchumba yupo mbali na huyu demu kama sijui kashaniroga maana kila nkifkiria kumuacha kwa wema najikuta nafsi inagoma.

Na hata nimeshaonesha dalili ya kutomjali kwani hata pesa simpi lakini bado anakomaa na mimi.

Hapo ndo najuta kumpenda...

Ushauri wenu nifanyeje ili huyu demu aniache au mimi nimuache ili kunusuru ndoa ntakayofunga na mchumba wangu...?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maneno mengii utoto utoto tu utawaisha lini

NADHANI MTU ANAYEJUTA NI YULE ASIYEPENDA KUMALIZA KUTENDA KOSA AU ASIYEPENDA KUENDELEA KUFANYA KOSA, SIONI KAMA KUNA USHAURI UTAKAOKUFAA KWA HAPO MAANA KAMA ULIINGIA KICHWA KICHWA NI VEMA SASA UTOKE KWA MIGUU ILI UTEMBEE WIMA, PENGINE UBONGO ULIVYOKUWA UNAUKANYAGIA CHINI NDIO MADHARA YAKE HAYO UNASHINDWA KUFIKIRI VIZURI ILA UKIUWEKA WIMA KWA KUANZA KUTEMBELEA MIGUU KAMA WANADAMU WENGINE BHASI UTAANZA KUONA SOLUTION YA TATIZO. ALAFU KINGINE KUJISAHAU NA KURUDI TENA SHIMONI NI KOSA KUBWA SANA ANGALI WAELEWA NINI ILIKUWA DHAMIRA YAKO, HUKUISIMAMIA VEMA DHAMIRA NDIO MAANA UMEPATA ANGUKO LA KUSHINDWA KUTOKA, BY THE WAY UKISHAKUWA MATURED UTAANZA KUWA NA UELEWA WA VITU VINGI.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom