Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Anajijua yeye ni mchepuko jana kanifumania na mwanamke mwengine akaniletea vurugu!,akaniita mimi mwanaume malaya haikutosha akaniita mimi "kenge maji!" kitu hichi kiliniuma sana nikamvuta nikamtia...
Full name: Arsenal Football Club
Nickname(s): The Gunners
Founded: 1 December 1886
League: Premier League
Website: arsenal.com
Ground: The Emirates Stadium, (Capacity: 59,867) - Pitch...
KISA CHA SANAMU LA YESU NA MAJI KUTOKA CHOONI
Mwaka 2012 Nchi ya India ilipata taharuki baada ya sanamu moja ya Yesu kuanza kutiririsha maji kupitia miguuni
Sanamu hilo lililopo katika...
Wakili msomi Fatma Karume anasema kuwa viongozi waTanganyika ndiyo tatizo.
https://m.youtube.com/watch?v=upbVqLpdVmk
Viongozi wa Zanzibar na wananchi wa Zanzibar wanajitambulisha kama...
Najua Kuna nyuzi nyingi kuhusu kikokotoo kipya vs kile Cha zamani,
Lakini ili kuondoa utata naomba mods waache huu uzi,
Kwani hili swali likijibiwa utata wote utaisha..
Hili ni maalum kwa WALE...
Habari wakuu
Najua JF ni kisiwa cha habari na maarifa pia kumekuwa na nyuzi nyingi ambazo sisi kama member tumekuwa tunazisoma.
Basi mkuu ni hivi, wewe kama mwanaJF uzi gani ulikuvutia sana na...
Mimi ni kijana ambaye ninajishughulisha na shughuli halali za kawaida na ninajipatia kipato halali, ninaomba niwasilishe kilichotokea mtaani kwetu Mkoa wa Katavi, Kitongoji cha Makanyagio Mjini...
kuna habari kwamba yule miss TZ 2006, Wema Sepetu ameanza kuchanganyikiwa. Wiki iliyopita alimfanyia fujo mpenzi wake wa zamani ambaye ni msanii wa maigizo nchini Steven Kanumba na kuvunja vioo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.