Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nyumba lazima iwe ya moto yaani wakati wowote kinahappen mara wametokea wamama wa vikoba wamefuata rejesho kwa mkeo maana bidada kakopa halafu kauchuna hataki kupeleka rejesho imebidi wamama...
4 Reactions
23 Replies
223 Views
Ni sehemu ndogo sana ya wapenzi wanaoishi mbalimbali ambao hudumu kwenye uhusiano wao kwa muda mrefu. Hiki kinaonekana kuwa ni kitendawili kigumu sana kwa wapenzi wengi kuvumiliana kwenye...
2 Reactions
21 Replies
63 Views
Awali ya yote wanakidoni Binafsi Huwa hatupendi kushabikia jambo bila kujuwa nyuma ya pazia Kuna Nini? Siku zote ukiona mtu wa operation ana expose ile operation basi ktk jicho lakijasusi maswali...
3 Reactions
25 Replies
589 Views
  • Poll
Tanzania imeshapitia Awamu sita kama sio tano za Marais tofauti tofauti. Je ni Rais Gani aliependwa kuliko wote Tanzania?
24 Reactions
887 Replies
34K Views
Wanabodi, Loe nchi yetu tumeadhimisha miaka 60 ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar, na kuwa nchi moja ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Muungano wetu ni muungano adimu na muungano adhimu...
16 Reactions
35 Replies
517 Views
Vetting ya viongozi wa Zanzibar na serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania bara inafanyika kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Hii ni sehemu ya mfumo wa Muungano kati ya...
0 Reactions
5 Replies
58 Views
Ndugu zangu watanzania, Mwamba Paul Christian Makonda ndio maana anapendwa sana na wananchi wanyonge na wa hali ya chini wenye maisha ya kawaida na ya kutafuta mkate na chakula kila siku pale jua...
0 Reactions
23 Replies
365 Views
  • Sticky
Wewe ni Mwalimu (Msingi, Sekondari n,k) na unahitaji mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi? Weka ombi lako hapa na wengine watawasiliana nawe. Ni muhimu kuzingatia kuwa, ukiweka baruapepe...
108 Reactions
28K Replies
3M Views
Nauliza kwa upole, tujadiliane bila jazba. Sidhani kama kuna mwanaume mwenye mpenzi au mke mmoja tu. Katika marafiki zangu milioni moja huyo mtu hayupo, labda useme huko hali ipoje. Nimejaribu...
4 Reactions
12 Replies
106 Views

FORUM STATS

Threads
1,849,041
Posts
49,504,875
Members
666,941
Latest member
Ayubu popati
Back
Top Bottom