Kumekuwa na mjadala mkubwa kama yule ni mimi au sio Mimi.
Nimekuja mbele Yenu wa JF ili nijibu hoja na maswali yenu. Ila yule sio mimi.
Karibuni kwa maswali.
Wanabodi, mimi ni mshabiki na mfuasi wa simulizi za mwana Jf maarufu, mwenye powers fulani za ushawishi, Mkuu Maalim Mohamad said, nyingi ya simulizi zake zina some religious controversies...
Muuza madafu amehojiwa na Ayo Tv na kusema yeye Siyo yule Komandoo ila ni Kweli wanafanana
Muuza madafu amesema yeye anacheza kareti na boxing na anatamani sana kujiunga na mambo ya Ulinzi kama...
Salaam wadau.
Naomba kujuzwa na yeyote kuhusiana na hizi Chipset za MediaTek, haswa ubora wake na kwa nini bidhaa zilizo na Chipset hii zinadharaulika, je ni kweli MediaTek ni hovyo au ni maoni...
Hey guys wa JamiiForums,
Kuna kasumba moja sasa hivi, mwanamke anakuwa na mwanaume wengi kutokana na tamaa binafsi walizonazo wanajikuta wanapata mimba za kushtukiza.
Kama mimba ni ya jamaa...
Ng'ombe tayari wamenunuliwa wake Mecco nyumbani kwa Khalid Bitebo wakichungwa mara ya mwishomwisho.
Kesho asbh na mapema watu wanaanza na supu then dude lenyewe mida ya mchana.
Kiingilio ni uzi...
Mmeachana na Benchika nimefurahi sana, ana cv kubwa lakn uwezo wa kawaida tu, hana mbinu wala ufundi zaidi ya dharau, kebehi na kiburi.
Wengi hamjui lkn Benchika ana shida, kiuongozi hayawezi...
1. Ni Joe Biden Marekani, au Bibi Israel? Kumbe wapi kuna kalika?!
2. Kwamba kwao sasa ni kama kwetu tu na kina Muroto?! Hawa ndugu si walikuwa wakimnyooshea kidole jiwe dhidi ya migomo na...
Nimekuta na si mara moja, mwanamume anamchapa mtoto wake kuwa hataki kwenda "chuo"! /Madarasa. Nikamsihi asimchape mtoto (about4-6 yrs) hivyo. Akasema chuo ni lazima, kwingine wala sitamchapa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.