Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Katika nchi 15 zenye asilimia kubwa zaidi ya wagonjwa wa kisukari duniani nchi 5 ambazo ni Kuwait, Misri, Qatar, Saudi Arabia na Sudan ni za kiarabu. Nchi moja ya Pakistan ina ustaarabu...
2 Reactions
7 Replies
141 Views
Naomba kufafanuliwa kunaulazima gani unapojenga kuweka renta Tatu? Msingi baada ya kosi nne (dirishani) unaeka renta ukifika kozi ya kumi renta tena katika hizo ipi ni ya muhumi mnooo na haipaswi...
0 Reactions
2 Replies
13 Views
MALAIKA WA BAHARINI alivyookoa watu 16 kwa kuwanyonyesha maziwa yake Katika Miaka ya 2000 .....Raia wengi kutoka Jamhuri ya Dominika walikuwa wanakimbia nchi yao kuelekea katika nchi ya...
0 Reactions
1 Replies
15 Views
Anasema kocha wa BAYERN MUNICH, Thomas Tuchel "Nmeiangalia Real. Madrid na wachambuz wangu. Ukiyachunguza sana magoli Yao au nafasi zao, na ukarejesha sekunde 10 nyuma, Huwezi kuona Kama wanakuja...
0 Reactions
6 Replies
61 Views
Heshima zenu wakuu. Hivi karibuni, 11/04/2024, niliotesha miche michache ya matunda ya apple. Ilikuwa miche mitatu, na nililietewa toka Kenya. Lakini mmoja wa hiyo miche imetoka michipukizi...
0 Reactions
1 Replies
85 Views
Habari wakuu Hivi mbona msanii chid benz haponi kile kidonda chake cha mguuni maana tangu ameanza kuumwa kile kidonda sasa yawezafika mwezi wa nne au watano, nini tatizo? Maana Jana kapanda...
2 Reactions
12 Replies
425 Views
PLN 0001 2BR Ramani ya Vyumba Viwili Living room (Sebule) 1 Master bedroom with a Dressing room (W.I.C) 1 Single bedroom Kitchen (Jiko) Public toilet (Choo cha jumuiya) Ramani hii ina privacy...
31 Reactions
474 Replies
36K Views
Taarifa ikufikie popote ulipo , kwamba Maandamano ya Amani yanayoratibiwa na Chadema kwa ajili ya kupinga ugumu wa Maisha na Sheria mbovu za Uchaguzi , yameingia Mkoani Mwanza , leo ni zamu ya...
4 Reactions
34 Replies
661 Views
Habari, Nina mdogo wangu amesoma advance kombi ya PCB na matokeo yapo hivi; Physics-C, Chemistry -B na Bios-B. Je, aende Pharmacy au Radiology na kwa matokeo hayo si anaweza pata Muhimbili?
2 Reactions
15 Replies
624 Views
Wakuu hii point inajisimamia yenyewe kabisa wala haihitaji kujaziwa nyama nyingi kiviiile maana mengi yako wazi sana kwa sasa - hali ya kitaa inajulikana jinsi kulivyo kwa moto[emoji3533] -...
1 Reactions
1 Replies
23 Views

FORUM STATS

Threads
1,849,020
Posts
49,504,058
Members
666,926
Latest member
Maxnnko
Back
Top Bottom