Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
924 Reactions
1M Replies
40M Views
Dar ni sehemu yenye raha nyingi kama kulivyo na karaha nyingi pia. Japo kwangu nikipima naona karaha ndio zimezidi. Ni kawaida sana kukuta misururu ya foleni ya watu wakigombea usafiri tena...
13 Reactions
62 Replies
2K Views
Wakuu hatimaye nimefikia uamuzi wa kumuacha rasmi baada ya kuishi nae almost miaka mitano..Rejea uzi nataka kumuacha ila sina pa kuanzia. Ipo hivi; Nilileta kisa humu ndani kuomba ushauri juu ya...
0 Reactions
2 Replies
12 Views
Kuna mambo yanachekesha sana sometimes, unatengeneza tatizo, unawaacha wanahangaika nalo at the same time unatafuta praise team ili ku-justify kuwa tatizo ulilotengeneza sio tatizo. Unakaa kimyaa...
1 Reactions
0 Replies
1 Views
Jimmy Carter ni rais wa Marekani wa 39 ambaye mnamo oktoba 1 mwaka 2023 alikuwa akisherehekea miaka yake 99 tangu kuzaliwa kwake mwaka 1924. Rais huyo mstaafu alitwala Marekani kuanzia mwka 1977...
7 Reactions
41 Replies
1K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
512K Replies
29M Views
Jamaa mmoja alifungua duka basi marafiki zake, familia, na majirani walinunua bidhaa kwake na wengine wakikopa,Baada ya miaka kadhaa, hiki ndicho kilichosalia. Mara nyingine tunakubali ndio...
0 Reactions
2 Replies
10 Views
Kwanini uki ishi nchi za wenzetu zilio endelea zenye ajira nyingi maisha mazuri safi good hygiene medical care nzuri nk. Lakini stress miogoni mwa wstu ziko high mpaka kusababisha high blood...
0 Reactions
7 Replies
72 Views

FORUM STATS

Threads
1,850,018
Posts
49,535,225
Members
667,301
Latest member
kitenge ahmad ally
Back
Top Bottom