Nauliza kwa upole, tujadiliane bila jazba.
Sidhani kama kuna mwanaume mwenye mpenzi au mke mmoja tu. Katika marafiki zangu milioni moja huyo mtu hayupo, labda useme huko hali ipoje.
Nimejaribu...
Nafikiri wengi wanakumbuka mwezi uliopita pale tulipoona wauza madafu wapo Ikulu kwa ajili ya "kuuza madafu" kwa waalikwa.
Walipiga picha na kurasa za mbele za magazeti wakatamalaki.
Wapo...
Wakuu
Mimi nikiwa kama mwananchi kindakindaki kabisa
Nakiri binafsi na naomba tuwaombee watani zetu hawa mbumbumbu wajitahidi hata waishie nafasi ya pili ili sisi na wao tucheze huko CAF kuliko...
Kwa jamii zetu za kitanzania ni suala la kawaida Kwa wazazi wetu kukushauri masuala ya future especially ndoa. Kwa kukuambia makabila ya kuoa/ kuolewa nayo ...ukiachana na wale wa kishua ambao...
Full name: Liverpool Football Club
Nickname(s): The Reds
Founded: 3 June 1892
League: Premier League
Website: LiverpoolFC.com
Ground: Anfield, (Capacity: 54,074) - Pitch 101m x 68m...
Waliosoma Cyber watueleze ili na wanasheria.Mfano nina kitecno changu nimesambaza taarifa kimakosa au sio makosa inakuwaje waende nyumbani kupekuwa wakati kilicho fanya kosa au si kosa ni simu na...
Anasema kocha wa BAYERN MUNICH, Thomas Tuchel
"Nmeiangalia Real. Madrid na wachambuz wangu. Ukiyachunguza sana magoli Yao au nafasi zao, na ukarejesha sekunde 10 nyuma, Huwezi kuona Kama wanakuja...
NILIEMDHANIA NI KAHABA KUMBE BIKRA
MTUNZI:SINGANOJR .
AGE:18+
NB:SIMULIZI HII NI YA KUTUNGA
PDF KUTOKA SEHEMU YA KWANZA MPAKA YA 390 IPIO NITAFUTE WATSAPP 0687151346
PROLOGUE../DIBAJI...
Wakuu mimi nikijana mdog tu sana hata 22 sijafika najitegemea ila nimepatwa na hili janga choo nakiona kuzimu kila nikibanwa na gogo natamani nijifiche
Kwanza mimi sio mlaji sana haswa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.