Pamoja na Aziz Ki kufunga, bado hakukuwa na jitihada na mikakati ya dhati kumtengenezea mazingira ya kufunga zaidi. Dodoma FC walipoteana jumla lakini wachezaji wa Yanga walionekana kuridhika na...
Habari wanajukwaa
Mimi ni binti wa miaka 28 nimesoma diploma ya pharmacy changamoto niliyonayo ni kusikia nimemaliza chuo 2020 sjabahatika kupata Chet nadaiwa sina wazazi.
Naombeni mnisaidie...
Niaje waungwana
Leo nimeamua nilete kwenu uzi huu ili tumalizie ubishi uliopo mtaani kwetu kwa muda wa week tatu sasa bila kumpata mshindi wa kweli, huku kila kundi likivutia kamba upande wake...
Habari ndugu zangu. Wakubwa shkamoo......
Ushawahi kujiuliza maisha yangekuwaje bila Dini?
Leo nimewaza nikawazua na kuangalia mifano iliyohai kuhusu uhusiano uliopo kati ya mtu kuwa na roho ya...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Kwanza sio lazima niwasalimie maana nitapoteza muda tu...🤨
Ipo hivi.
Jukumu la mzazi wako ni kuhakikisha unakua na afya njema, unapata malazi na mavazi mazuri na kisha unapata elimu na maarifa...
Watu wa Soka,
Umofia kwenu.
Nimekuwa nikipokea SMS nyingi na maswali kwenye mitandao ya kijamii kuhusu nini kimetokea kati yangu na Klabu ya Singida Fountain Gate ambayo nilikuwa naitumikia kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.