Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Jana nimeshangaa mno kuona watu wakitabiri, wakiomba na wakitamani Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda atumbuliwe na Rais Samia Suluhu Hassan kutokana na kauli yake ambayo hadi sasa sijaona ni...
4 Reactions
44 Replies
366 Views
1.Anakula hotelini vyakula vyenye afya familia inakula ugali kila siku. 2.Anakunywa vinywaji vizuri baridi watoto wanakunywa maji hajali. 3.Anavaa nguo nzuri za bei wanafamilia wanavaa...
1 Reactions
10 Replies
11 Views
Siamini eti ni mihemuko ya kihisia ndio inatufanya tu babaike na urembo wa mwanamke maana hata mwanamke mrembo anatamaniwa hadi na mwanamke mwenzake. Tangu hii dunia ianze tumeona jinsi mwanamke...
8 Reactions
14 Replies
451 Views
Mpaka sasa Mimi ni Mchezaji wa Yanga na nafasi kubwa zaidi nawapa Yanga, namwamini Rais wa Yanga @caamil_88 yeye ndie amenileta hapa, tuna makubaliano yetu mimi na yeye kuwa Yanga inapaswa kucheza...
2 Reactions
13 Replies
548 Views
Habari za jumapili! Zile porojo za Watu waongo kuwa mzazi ni mzazi zinaenda kufutika. Kila siku nawaambia hapa, mahusiano ya Watu yanatokana zaidi na ukaribu wao jinsi wanavyoishi na kutendeana...
1 Reactions
7 Replies
26 Views
Jana nilikuwa nafikiria kuhusu demokrasia kama mfumo kuundia serikali nimekuja kujua hauna tija sababu zangu ni hizi 1.mwenye hela na umaarufu anaweza kuwa kiongozi Hapa ni kwamba mfumo...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Hivi tuseme ukweli, ni mambo mangapi mazuri ambayo RC Makondà kawatendea wamama na wanawake wanaodhulumiwa kila uchao na wengine mpaka anawajengea kwa kutozaa na kutelekezwa na ndugu zao, mbona...
22 Reactions
165 Replies
2K Views
Macho yanavutia sana. Kupitia macho waweza kuchungulia roho ya mtu, baadhi ya vigezo vinavyofanya macho kuwa yenye mvuto ni; kuwa na umbo la Uduara wenye uwiano, kuchomoza nje ya sura, na kuchukua...
1 Reactions
54 Replies
913 Views
Ndugu zangu wana Jf habari zenu. Unajua kwenye haya maisha tunapitia mengi sana hasa katika utafutaji kwa upande wa Wanaume. Tunakutana na mambo mengi sana ya aibu, kukatishwa tamaa, kuachwa na...
151 Reactions
13K Replies
4M Views
Mzuka Wanajamvi. Nimesikitika sana Marekani CIA kutaka kuipindua Serikali halali ya kidemokrasia ya Congo DRC. Kumbe uzushi tunasikiaga hawa CIA wanafanya Africa kumbe ni kweli. Tunawateteaga...
8 Reactions
91 Replies
4K Views

FORUM STATS

Threads
1,857,329
Posts
49,713,594
Back
Top Bottom