Jana nilipita Baa Moja hivi usiku mkali kula, nikakuta ndio Bar inakaribia kufungwa. Ghafla nikasikia malumbano kati ya Meneja wa Baa na kabinti kamoja hivi (waitress). Kumcheki yule waitress...
Nchi ya Namibia imetangaza kugundua kiasi kikubwa Cha Mafuta katika Pwani ya Nchi hiyo.
Kwa mujibu wa kampuni ya Utafiti ya Kutoka Ureno ya Galp Energia inasema awamu ya kwanza ya matokeo...
Nimetafuta humu sikuona special thread kwa ajili ya series ila movies.
Kwa wale wapenzi wa series tujadili hapa series tulizoona na ilivutia,pia wengine ambao hatujui baadhi ya series tunaweza...
Gazeti la mwananchi lilianzisha kura za mtandaoni ama poll ya kuuliza wadau ni sera za kiongozi yupi wa Tanzania kati ya Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia wanazozikubali.
Matokeo ya kura...
Mkeo huwa anaoshwa miguu kisha kukaushwa na wataalamu wa kusafisha kucha?
Hii huduma imekuwa maarufu sana kwa wamama wa mjini, na wengi wao huwa wanapata huduma waume zao wakiwa kazini.
Mdau...
Wakuu habari,
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 21 sasa, niko chuo X. Naomba niende straight kwenye point wakuu maana nahitaji msaada wa haraka sana. Nimetokea kumpenda binti flani ambaye niko...
Iko hivi hawa mke na mme wanaishi nchi tofauti ila hapo nyuma walipendana sana tena sana na.wana watoto kadhaa. Sasa mme akapata michepuko hapa Tanzania.
Na kuna mchepuko aliupenda sana sana...
Nina mchumba wangu ambae kiukweli nampenda na mpaka sasa tuna miaka 3 katika mahusiano.
Tuliishi vizuri japo yeye yupo kijijini kwani tulianza mahusiano akiwa bado shule nkamvumilia bila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.