Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Ukitaka vichekesho bila gharama soma Taarifa za Polisi. Katika tukio la hivi karibuni la kupote na Kuuawa kijana Robert Mushi na kishà maiti yake kukutwa Mortuary ya hospitali ya rufaa ya Polisi...
7 Reactions
41 Replies
803 Views
Madaktari na watu wa afya kwenye eneo la Gaza wameshughulika sana kufukua makaburi ya halaiki baada ya vikosi vya Israel kuondoka maeneo ya mahospital waliyokuwa wakiyakalia. Hali ni ya kutisha...
0 Reactions
21 Replies
200 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
923 Reactions
1M Replies
40M Views
Nimemsikia mtangazaji wa Upendo TV akiripoti kutokea Cathedral ya Azania Front akisema hapo ndipo alipokuwa anasali Dr. Karl Peters. Na nimesoma kwenye gazeti fulani kuwa Karl Peters aliruhusiwa...
3 Reactions
22 Replies
705 Views
Dunia ya leo watu wengi hufanya utalii wa ndani au wa nje ya nchi zao si kwa ajili ya vivutio vya asili vya mazingira na majengo tu bali kwa ajili ya kufurahia utalii wa vyakula vya asili na...
17 Reactions
2K Replies
40K Views
katika harakati zangu za kisiasa, kura za maoni kivyama huko Jimboni, mara hiyo tupo mjini na, ni wakati wa kulala huko guest house. Sasa miongoni mwa wakuu wa msafara alikuepo mtu mzima, lakini...
0 Reactions
3 Replies
77 Views
Wanabodi, Hiki ni kisa cha kufikirika tuu lakini ni kisa cha kweli na ni cha ajabu kweli, ila ndio ukweli wenyewe kwa kitakachotokea kwenye ndoa ya wawili hawa!. Kwa hapa Tanzania, kwa kawaida...
3 Reactions
32 Replies
7K Views
The Weekend - Out of Time
18 Reactions
3K Replies
66K Views
Wazazi timizeni wajibu wenu. Mzigo wa kuwatunza mabinti zenu wamebebeshwa vijana ambao bado wanajitafuta Mahusiano ya kimapenzi yamekua liability kwa kijana wa kiume. Vijana wa kiume wanashindwa...
5 Reactions
10 Replies
148 Views
Mabasi mengi ya kwenda Mikoani huwa yanafungulia nyimbo za Injili kwanzia mwanzo hata mpaka mwisho wa safari. Kitendo cha kufungulia nyimbo za Injili sio jambo baya lakini mara nyingi nyimbo hizo...
6 Reactions
61 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,848,742
Posts
49,493,432
Members
666,811
Latest member
britanny
Back
Top Bottom