Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mabasi mengi ya kwenda Mikoani huwa yanafungulia nyimbo za Injili kwanzia mwanzo hata mpaka mwisho wa safari. Kitendo cha kufungulia nyimbo za Injili sio jambo baya lakini mara nyingi nyimbo hizo...
3 Reactions
38 Replies
340 Views
Katika muendelezo wa kile waziri wa ardhi Jerry Silaa anachokiita kliniki ya ardhi na kutatatua changamoto za ardhi ameendelea kupuuza kabisa documents/nyaraka halali za serikali na mahakama za...
6 Reactions
19 Replies
541 Views
Wakuu habari zenu, Mwaka 2012 nilienda kozi nje ya nchi kwa miezi 3 hapa hapa Africa, nyuma niliacha mke na watoto wawili walio primary school, nikiwa kozi rafiki yangu akawa anakwenda kulala...
14 Reactions
416 Replies
33K Views
Jana usiku, maeneo ya Kibaha mkoani Pwani, umeme ulikatika. Hata sasa, umeme umekatika tangu asubuhi. Ni hivi karibuni tu ndugu zetu TANESCO mmepongezwa kwa kuzalisha umeme mwingi kuliko...
5 Reactions
25 Replies
483 Views
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya. Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
112 Reactions
381K Replies
10M Views
Waaukumbi. American colleges and universities involved in the Palestinian protests: - Yale University University of Texas Columbia University Massachusetts Institute of Technology University...
1 Reactions
73 Replies
832 Views
Hello jukwaa la celebs Siku za hivi karibuni recently...Mwanamama Socialite wa Kenya Tanasha Dona ambaye ni mwanamziki wa miondoko ya rapper, ambaye alikuwa na mahusiano na msaani maarufu nchini...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Maadhimisho ya Miaka 60 ya Muungano Hotuba ya Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa Taifa kuhusu Miaka 60 ya Muungano. 25 Aprili, 2024. Dar es Salaam.
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Manufaa ya muungano tumeyaona, ni matamu sana kwa watanzania walio wengi. Kila kijana mzanzibar anatamani kwenda kuishi Tanzania bara, na wako watanzania bara ambao wanatamani kwenda Zanzibar...
7 Reactions
76 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,848,628
Posts
49,490,469
Members
666,782
Latest member
Borauzimaa
Back
Top Bottom