Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

wakuu wasaalamu. Kama kichwa cha Habari kinavyosema. Nimeona wanaume wengi sana wenye wake zaidi ya mmoja, Lakini kitu kinachonishangaza Hawa wanaume utakuta Mke mkubwa anaishi wilaya hii mwingine...
5 Reactions
76 Replies
865 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
511K Replies
29M Views
Mwanafunzi wa Mwaka wa Kwanza anayesoma Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) ambaye jina lake halijawekwa wazi inadaiwa ametaka kufanya jaribio la kujiua akiwa chuoni hapo chanzo kikitajwa ni masuala ya...
3 Reactions
32 Replies
386 Views
Kumetokea wimbi la maandamano kwenye vyuo vikuu nchini Marekani kupinga mauaji ya wapalestina yanayoendelea Gaza. Serikali inatumia askari polisi kuzuia waandamanaji wanaotumia haki yao ya...
11 Reactions
65 Replies
1K Views
Tokea October 07 Mashambulizi ya Hezbollah kaskazini mwa Israel yamewaangamiza wanajeshi zaidi ya 2000 wa Israel na kuwaacha maelfu wakiwa vilema Hezbollah wamefanya zaidi ya operesheni 1650...
1 Reactions
1 Replies
18 Views
Uzi maalum wa kuzikimbuka timu mbali mbali zilizowahi kutamba miaka ya nyuma na nyinginezo zilifika hadi ligi kuu. Taja timu moja tu umor nafasi na mwenzako ataje anayoijua. Mimi naanza na...
2 Reactions
99 Replies
4K Views
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya. Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
112 Reactions
382K Replies
10M Views
Hii nyuma nimejenga mwaka 2000 Kwa kufuata vigenzo vyote vya ufundi. Nimeshangaa hizi mvua za mwaka kuna chumba nikiingia nakuta wet kuna majimaji, naagiza papigwe deki pakaushwe nikija tena...
3 Reactions
60 Replies
1K Views
Habari wakuu, najua wengine humu tayari mmesha oa au ni wazazi tayari. Ningependa mtupe uzoefu wenu, kuwa uli jisikia vipi kwa Mara ya kwanza baada ya kugundua wewe ni mzazi mtarajiwa. Kuna kipi...
27 Reactions
334 Replies
6K Views

FORUM STATS

Threads
1,848,721
Posts
49,492,461
Members
666,807
Latest member
betty12
Back
Top Bottom