Habar eadau
Hii mila ua eanaume kuwatongoza wamawake imepitwa ma wakar
yaan unakuta mdada anakufuata bra bra kibao mara simu yngu imasumbua norekebishie mara nimekufananisha mara hv mara...
Kiongozi wa hovyo ametugharimisha mpaka sasa baadhi ya mitandao imeshindwa kutoa huduma ya intaneti. Mambo kibao hayaendi, leo tunaingia maofisini na hatuna cha kufanya sababu ya huyu Waziri mmoja...
Mi na ishauri serikal hasa kwenye sekta ya elimu maana ndio chimbuko la kila wadhifa elimu ya sekondari iwekwe mafunzo ya udereva ili pindi mtu anapo maliza kidato cha nne anakuwa tayari anayo...
Jamani katika harakati za kutafuta kazi, vibarua na ajira rasmi. Wengi tumeangukia sekta binafsi.
Aloo huku watu wanasota mbaya, kuna viwanda hapo vingunguti malipo ni bukutano per day. Unaingia...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Karibuni Kwa Live updates za mchezo wa Ligi kuu Tanzania bara kati ya Mtibwa Sugar (wenyeji) dhidi ya Mabingwa watetezi , Young Africans sc. Mchezo utaanza leo saa kumi jioni, Katika uwanja wa...
Habari za mei mosi wakuu
Leo nimefungua simu nikakuta contacts zangu zilizokuwa kwenye email zimepungua kutoka 2000+ mpaka 12 contacts.
Naomba muongozo wa namna ya kurudisha contacts hizo
simu...
Habari zenu wanajamvi,mlishawahi kujiuliza hawA wanawake waliojichubua NI Nani atakayewaoa?😂😂
Mwanamke ukijichubua jua kuwa huji kuolewa kamwe,hii ni kwa sababu hakuna mwanaume anapenda mwanamke...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.