Naamini kuna mambo mengi yanayochangia migogogoro na kuvunjika kwa ndoa nyingi kwa wakati huu
Ila Naomba nielezee hii sababu majawapo ambayo ni
Wanaume wengi au vijana pengine niwaite wavulana...
DC Shaka awabana 2 Wengine 48 watafutwa na Jeshi la Polisi
Jeshi la Polisi wilayani kilosa limewatia mbaroni watu wawili akiwemo Mwenyekiti wa Kitongoji cha Msowero A, Petro Sanga (Paroko)...
Kuna hii mpya hii ya vocha kupanda bei bila sababu yani vocha ya 500 sasahivi ni 600 na vocha ya 1000 sasahivi ni 1200 na ile ya 2000 sasahivi ni 2400 haya yametukuta huku mbeya wilaya ya chunya...
Gaza kumekucha huko wananchi wanazurura mitaani wakiimba na kumshukuru Mungu baada ya Hamas kukubali masharti ya Israel muda huu.
Kwakweli Mungu ni mwema anajibu wamekufa wengi sana na sasa...
Daraja la Mabatini Mwanza. Jamaa kajirusha. Inasemekana jamaa alikuwa akimsomesha mchumba wake Mwanza. Sasa aliamua kuja kumtembelea akakuta hakuna cha chuo bali kakuta kumbe binti keshaolewa na...
Hawa Wabunge wenu huwa hawana uwezo, tukisema tunaambiwa tuna kashfu. Sasa angalia huyu Mama, sijui Mbunge wa Wapi huko, hajui CT SCAN anasema T scan, akili yake yote ameilekeza kumsifia...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
aiseeee kunaaa mambo ambayoo yakifanyikaa mpaka unaogopa
nipo maeneo ya mbezi na askari wa mp wamewapigisha kwata dereva na konda wake
kikichotokea inasikitisha sana na mpaka tumesHAURIII...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.