Mtasikia kuhusu vita vinanavyopiganwa na pia matetesi ya kuwapo vita vingine. Lakini msiogope. Mambo haya lazima yatokee na mwisho wenyewe hautafuata palepale. Mataifa yatapigana na mataifa...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Kwa utendaji huu uliotukukuka wa Rais Samia huenda 2026 bunge litakosa Wapinzani labda wapewe upendeleo maalumu
Wadau hamjamboni nyote
Huo ndiyo ukweli na lazima usemwe kuwa Rais Samia amefanya...
Habari wakuu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza, mara kadhaa nimekuwa nikiingia kwenye mahusiano na hawa dada zetu lakini baada ya muda nakuja kugundua kuwa huyo mtu niliyenaye kwenye...
Je ulishawahi kutizama series ya prison break kisha ukaanza kujiona Michael Scholfield? Au umewahi kutizama movie yeyote baada ya hapo ukaanza kujiona RAMBO, JACK CHAN au VAN DAME?
Ile hali...
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya.
Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
Nadhani ifike wakati serikali yetu hata kama ina wajinga wengi basi tutumie nafasi yetu kushauri badala ya kukosowa tu.
Mimi si mtaalam wa mambo ya ulinzi lakini naelewa fika nimezaliwa Dar gongo...
Just imagine umezaliwa ukiwa punda ila hutaki kuwa punda unataka kuwa pundamilia kwa sababu unaamini jamii inayokuzunguka inapenda pundamilia, na mungu kakuumba hivyo unatembea na maumivu makali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.