Habari wana JF poleni kwa majukumu ya kazi pamoja na adha ya Mvua nyingi za week hii.
Weekend hii imekua poa kidogo japo mifukoni na wallet zimeteteleka kimtindo ila bado tunakomaa na maisha yetu...
Welcome to the Real Madrid C.F. Jamii Forums thread. Keep up to date with the latest news & engage with the club and other supporters.
The club formed in 1902.
Stadium: Santiago Bernabéu...
"SIKU MOJA MOJA SIYO MBAYA"
Leo nimekumbuka mwaka 2020 kipindi cha Pasaka,Jijini Arusha,hapo dili la ku-design michoro ya Majengo kadhaa ya Taasisi ya Kanisa limetiki na nka kabidhiwa pesa ya...
Kila nikitafakari naona wazee wa Kataa ndoa wapo sahihi hasa baada ya kusoma kitabu kiitwacho '
The Manipulated Man
by Esther Vilar (1971)'
Muandishi wa kitabu hicho ni mwanamke ambaye kwa kifupi...
Habari zenu wakuu wa jamvi naomba kuuliza kwa wale wenye uelewa wa tofauti kati ya silaha hizi SMG na ILE inayoitwa AK-47 nimekuwa mfatiliajia sana wa habari hapa nchi utasikia majambazi...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Watu wengi hudha kuwa kuoga ni takwa la kiafya kumbe sio kweli kuoga kuna madhara mengi kuliko kutokuoga
Utafiti uliofanywa na wanasayansi umethibitisha kuoga mara kwa mara huleta madhara kiafya...
Mzuka Wanajamvi!
2019 nilitabiri humu humu jamvin Liverpool itaifunga Barcelona 4-3 nusu fainali mechi ya marudio UEFA champions league na kuchukua UEFA dhidi ya Tottenham fainali.
Nilibezwa na...
Nahitaji simu ya kawaida kabisa bajeti yangu laki na 30.
Kikubwa iwe ina uwezo wa kutoa audio inayo sikika vizuri. Iwe Type C ambayo inaweza kutumia vile vi microphone vya sh elfu 25.
Nakumbuka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.