Recent content by Zyomo123

  1. Z

    PreGE2025 Wanasiasa na mbinu ya kuweka TV kwenye mikusanyiko ili kuhadaa wapiga kura

    Ujinga Wa Watanzania Ni Mzigo Mbaya Kabisa Yaani Tuna Taifa la Watu Wajinga Ambao wakihongwa Vitu Vya Ajabu Wanauza Kura zao na Utu wao Kwa Kanga,pombe, Tshirts. Yaaani kiukweli Taifa Sijajua Kama Elimu Inayo tolewa Inaondoa Ujinga Au Ndio Inaongeza Ujinga
  2. Z

    Mchezo wa sabuni unanitafuna taratibu, naomba msaada niache

    Ili uweze Kuacha Lazima uamue Kutoka Moyoni Kwako Kwamba Sasa Nataka Kuwa Mtu Fulani lakini Kama Huwezi Kuacha basi Tumia muda Mwingi Kuwa na marafiki usikae peke Yako itakupunguza uraibu wa Kufanya hivyo.
  3. Z

    Kwa hali inayoendelea sasa nchini wananchi wanaenda kwenye mikutano ya kisiasa kusikiliza sera au kuangalia Wasanii?

    Ili Chama kijipime Kama kinakubalika ni Kuacha Watu waje Wenyewe hicho Ndio kipimo sahihi.
  4. Z

    Kigwangalla asema nzega hawana hitaji lolote isipokuwa kumshukuru Rais Samia

    Hivi ni Kweli Watu wa Nzega Tabora Hawana Cha Kumueleza Rais wao huu ni Uongo Mkubwa Kabisa Watanzania Wana Changamoto Nyingi Sana Hawezi Mtu kama kingwangala Kuja Kusema Eti Watu wa Tabora Hawana Changamoto Yoyote Hivyo wao Wanamshukuru Rais basi Aorodheshe Hapa Mahitaji Yoote ya Msingi Ambayo...
  5. Z

    Kwanini Kilimo imekuwa ikionekana kama Sekta ya watu waliofeli (wameishiwa mbinu)

    Kilimo ni Bonge la Biashara Ila Sasa kunahitaji Mtaji Ili mambo Yaende Vizuri Mfano Kuna Changamoto za kilimo,kama Mafuriko, kuzoa mazao kama Una Bima Inapendeza, Kuna Kukosa soko, na Kuporomoka Kwa Bei ya Mazao Hapo napo Kama Huna Mtaji ni Changamoto Ila Kilimo ni Bonge la Ajira Kilimo ni Utajiri!
  6. Z

    Waliomsindikiza Wakili Mwabukusi Polisi nao wakamatwa. Yumo Mdude Nyangali

    Polisi wetu waliowengi wanajikomba Kwa watawala Ili Angalau waongezewe vyeo Ndio Maana Wanafanya Mambo ya Hovyo kufurahisha genge la Wauza Nchi! Hii haukubaliki kabisa Rais Samia Anapaswa Kuheshimu Mali zetu!
  7. Z

    SoC03 Kijana Tambua Fursa za kiuchumi

    Fursa za kiuchumi ni Hali Yoyote Ambayo Inakupa Nafasi ya Kujipatia Kipato Cha Halali, Vijana Badala ya Kusubiri Ajira wanapaswa Kutazama Fursa za kiuchumi Ambazo zinawazunguka Vijana. Kilimo Cha Matunda,Kilimo Cha mazao ya Chakula, , Ufugaji wa Kuku, Ufugaji wa Nyuki, na Ufugaji wa Mifugo kama...
Back
Top Bottom