Recent content by Zygot

  1. Z

    JamiiForums Tanzania Dalili za kupenda Utumwa ziko hadi Bungeni. Lugha nje ya kanuni zaachiwa kuzungumzwa Bungeni

    Ukijua kiarabu baadaye ukawe housegirl/boy Saudia? Ukisoma Kitabu cha Walter Rodney; How Europe Underdeveloped Africa, mara moja utaelewa kwa nini mtu wa pwani na Z'bar anaamini kiarabu ni lugha ya maana dunia ya leo. Utumwa umekwisha, lakini watumwa kupenda waliowamiliki haitakwisha.
  2. Z

    JamiiForums Tanzania Dalili za kupenda Utumwa ziko hadi Bungeni. Lugha nje ya kanuni zaachiwa kuzungumzwa Bungeni

    Nimeona video clip ya mbunge mmoja akichangia kwa Kiswahili na kiingereza. Baadaye akanogewa, nahisi kwa panic fulani, akaanza kuzungumza kwa kiarabu na kifaransa. Nijuavyo lugha za Bunge ni mbili tu! Kiswahili na Kiingereza. Lakini huyu karuhusiwa kutumia lugha za ziada bila adhabu yoyote na...
  3. Z

    JamiiForums Tanzania Samia akiongoza Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM - Dodoma, Alhamis 07 Mei, 2026

    Tunaojua kulinganisha sura na uwezo wa akili, ukiangalia sura ya huyu alivyo, utajua tu kwamba hakuna kitu. Yaani hapo sasa anajaribu ku-pozi kama bonge ya genius, kumbe tangu asubuhi hajafikiri la maana.
  4. Z

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini kila mwili unaookotwa nchini huwa tunawahi kusema ni vifo vya sababu za Kisiasa?

    M Miaka yote ndni ya JF bado akili ni hiyo? Kama serikali inakuwa ya kijinga, kuna wajinga wengi wataiga mtindo wake wa utendajikazi. Serikali inayokuwa na watu ambao kazi yao ni kuua raia, unategemea nini? Kila anayeuwawa, ni matokeoa ya upuuzi wa serikali. Ni upuuzi wa CCM.
  5. Z

    JamiiForums Tanzania TANZANIA Kutafuta Maridhiano ni Ujinga wa kisiasa! Elimu inaruhusu kuona ujinga huo

    KUna watu kule CCM wanaamini wana akili kuliko wa-TZ wote, Lakini ukiangalia ni wajinga kuliko tulio nje ya CCM. Yaani eti mtu kama Kabudi naye analiambia taifa juu ya Tume bila kujua kwamba ameshawekwa kundi la wajinga. Huyu Chande naye amekuwa kundi hilo. Huyo Juma naye ndo hovyo kabisa na...
  6. Z

    JamiiForums Tanzania Hivi Jaji Chande Othman hana kadi ya CCM?

    Jaji Chande ni mmoja wa watu wenye uwezo mdogo wa akili miaka yote. Hawa ni wale ambao walipewa nafasi kwa sababu tu baba yao aliisaidia TANU. Watu wa aina hii ni wengi ktk madaraka ya nchi hii. Hao akina Riziwani, akina Wanu, Akina Mchengelwa. Hata ukiwaangalia usoni ni watu wa zero-brain!
  7. Z

    JamiiForums Tanzania TANZANIA Kutafuta Maridhiano ni Ujinga wa kisiasa! Elimu inaruhusu kuona ujinga huo

    Imenibidi niwakumbuke hawa ma-Jaji wastaafu, nikamkumbuka anayeitwa rais, nikamkumbuka mfafanuaji Kabudi, nikamkumbuka msemaji wa serikali ambaye mitandao inamwita mkanushaji wa serikali. Hakika nchi iko Hoi! Hawa wote hakuna wa kumsaidia mwingine. Akili hizi ni mbovu, nchi haiko salama.
  8. Z

    JamiiForums Tanzania Rostam Aziz -Ni kundi la wanasiasa mafisadi wanaojiita wawekezaji

    Kumekuwa na 'wave' ya mtu anayejiita mfanyabiashara Rostam Aziz kujitokeza kwa uwekezaji mkubwa ktk nchi. Ghafla uwezo wa Rostam umekuwa kwa kasi sana! Rostam Aziz ni jina la kibubu cha wanasiasa marafiki ktk serikali ya JK na hii ya lita 8,000. Wakubwa hawa wanachota pesa ya serikali na...
  9. Z

    JamiiForums Tanzania PICHA: Ulinzi wa Rais Samia ni wa Kikomandoo na haujawahi kutokea barani Afrika. Hata sisiminzi hawezi kukatisha

    Mbona unatoa sifa za kijinga? Hujui kwamba wakati tunafanya yote hayo, tulikuwa na viongozi wenye akili timamu? Viongozi wenye uelewa. Viongozi wenye elimu. Leo hii kiongozi ni divisheni sifuri. Elimu ya hapa na pale. Maisha ya uhuni na na kudanga. Akisimama jukwaani mkono ni kama Hadija Kopa...
  10. Z

    JamiiForums Tanzania Tanzania yaiangukia EU/ Umoja wa Ulaya ibadilishe msimamo wa kuinyima misaada

    Ngoja tuingie twitter tukoleze uhasama tunaoutaka. Nahisi ni elimu duni tu! EU wako Dar, we unatuma mtu Brussels au naye ana macho yaliyolegea? Tutamtaka smile ili tuone na meno yakoje!
  11. Z

    JamiiForums Tanzania State of Fear: Inside Tanzania's Enforced Disappearances - BBC Africa Eye Documentary

    Kati kati ya wajinga unawezaje ku-relax!
  12. Z

    JamiiForums Tanzania Viongozi fisi! Walitangaza kuuza Meno ya Tembo na pembe za Faru. Sasa wametangaza kuuza dhahabu

    Pale Mpingo House walitunza meno ya tembo na pembe za faru. Ghafla wakatamani pesa, wakatangaza kuuza. Bahati nzuri kwa TZ, Kenya walivuruga mpango huo, wakashindwa. Sasa wamekuja na jipya. Wanatangaza kuuza dhahabu. Yaonekana wanaojiita ni viongozi ni kama fisi vile, hata akichomwa mkuki...
  13. Z

    JamiiForums Tanzania Walizoea kuleta documentary za Rwanda na Congo, sasa rasmi zipo za Tanzania

    Tuwashukuru CNN, Al Jazeera na BBC kwa kuweka sawa documentary za mauaji ya katika nchi ya Tanzania Kila ukifika Uchaguzi, walizoea kutishia wa-TZ kwa documentary za mauaji ya Rwanda, na Congo. Mungu Ibariki ICC huyu awe rais wa kwanza ktk EAC kujibu Mashtaka...
  14. Z

    JamiiForums Tanzania State of Fear: Inside Tanzania's Enforced Disappearances - BBC Africa Eye Documentary

    Nawe unaonesha huna kitu kichwani. Mambo ya chama yametoka wapi? Unaamini mauaji yalifanywa na CCM kwa hiyo waliuwawa ni CHADEMA? Aliyeua ni Samia. Kama Samia ndo CCM, huo ni ufinyu wa akili. Kuna sehemu mtu anauliza Ushabiki wa Kikwete kwa Samia ulikuwa wa nini? Hakujua kwamba ana uwezo mdogo...
Back
Top Bottom