Uko Sahihi mkuu
Nimeongea na mwenye gari kamaa hii akaniambia hivi
Kwa trip za mjini gari yake inaenda kutoka 7-9kpl
Na kwa safari za mbali imeenda adi 13kpl
Lakin hii kwa gari yake ambayo engine haijachoka na service iko wakat.
Asante
Asante. Swali apo kwenye kiasi kilichopo kwenye tank na ulaji una husiana nn? Kuna mdau huko juu pia alisema inategemea na fuel kwenye tank pia.
Naomba unifungue macho.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.