Naombeni info unywaji mafuta na menginayo ya Crown Athlete

Wajua Toyota Crown ni an executive Japanese saloon (Sedan) ambayo is built ku rival the world’s best luxury cars.

Ina a high degree of refinement not common kwenye Japanese cars na it obviously targets an upscale clientele.

ina competes na the Lexus LS, Mercedes E-Class, BMW 5 Series, Audi A6, Jaguar XF and Nissan Fuga

The car usually goes 11km/L

That's the little i know about the car.
Wengine wataongezea.
 
Habari

Naombeni infor ya hii gari ya crown Athlete

Ya mwaka 2005

Yenye engine ya 4GR

2490cc

Asanteni
Mimi niliipata ikiwa na mileage ya km 27320tu alaf ni 4WD,nikijaza full tank inaandika kwenye Dashboard 13km/l nikiwa Masafa hapo,Tank linavozidi kupungua ndivo km znapungua mkuu mpaka hata 5.5 /litre.

Hii Gari mkuu kwa wastani 7km mpk 9 kwa mizunguko inategemea ukanyagaji na sehemu pia na kiasi kilichopo kwny Tank maana inaandika kwenye Dashboard!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tengeneza sedan car yako ambayo utatoka nayo nje ya mji😀. Shida ya mbongo akinunua gari anataka gari hiyo akalimie viazi na gari hyo hyo aende nayo ofisin.
Sedan car yangu niliyotengeneza ya kutoka nje ya mji hii hapa😄😄😄
2020041065306.jpg
 
Wajua Toyota Crown ni an executive Japanese saloon (Sedan) ambayo is built ku rival the world’s best luxury cars.

Ina a high degree of refinement not common kwenye Japanese cars na it obviously targets an upscale clientele.

ina competes na the Lexus LS, Mercedes E-Class, BMW 5 Series, Audi A6, Jaguar XF and Nissan Fuga

The car usually goes 11km/L

That's the little i know about the car.
Wengine wataongezea.

In depth analysis. Thanks bro
 
Mimi niliipata ikiwa na mileage ya km 27320tu alaf ni 4WD,nikijaza full tank inaandika kwenye Dashboard 13km/l nikiwa Masafa hapo,Tank linavozidi kupungua ndivo km znapungua mkuu mpaka hata 5.5 /litre.

Hii Gari mkuu kwa wastani 7km mpk 9 kwa mizunguko inategemea ukanyagaji na sehemu pia na kiasi kilichopo kwny Tank maana inaandika kwenye Dashboard!

Sent using Jamii Forums mobile app

Asante. Swali apo kwenye kiasi kilichopo kwenye tank na ulaji una husiana nn? Kuna mdau huko juu pia alisema inategemea na fuel kwenye tank pia.

Naomba unifungue macho.
 
Asante mkuu
karibu mkuu

ila naona kwenye zile za nyuma data za mafuta hazipo (katika tovuti niliyoweka hapa)...

mimi nina pickup moja ya zamani sana na nilikuwa sijui ulaji wake wa mafuta. nilichofanya ni vifatavyo:
  • nilichukua dumu la lita 5 na kujaza mafuta
  • yale yaliyo baki kwenye tenki ya gari nilitumia mpaka gari kunizimikia
  • nikaweka zile lita 5 na kufuta kilometer kabla ya kuendelea na safari (ilikujua hizo lita 5 zitanipeleka umbali gani huku nikizingatia spidi isiyozidi 80)
nilitambua kua lita 1 inauwezo kunitembeza kilomita 8. sasa kwa kuwa Crown kidogo ni jibaba sisemi ujaribu ila kama ukipata dumu la lita kumi, la chuma, huenda ikasaidia utafiti kama Google inakuangusha!

wazo tu mkuu!
 
Wajua Toyota Crown ni an executive Japanese saloon (Sedan) ambayo is built ku rival the world’s best luxury cars.

Ina a high degree of refinement not common kwenye Japanese cars na it obviously targets an upscale clientele.

ina competes na the Lexus LS, Mercedes E-Class, BMW 5 Series, Audi A6, Jaguar XF and Nissan Fuga

The car usually goes 11km/L

That's the little i know about the car.
Wengine wataongezea.
basi engine yake iko vizuri maana nikiona gari ingini yake ni 6 basi najua mkwanja utulie kwa adabu.

Toyota wame improve engine kwa upande wa consumption na ku maintain performance.

ahsante sana kwa mchango wako
 
Asante. Swali apo kwenye kiasi kilichopo kwenye tank na ulaji una husiana nn? Kuna mdau huko juu pia alisema inategemea na fuel kwenye tank pia.

Naomba unifungue macho.
Ikiwa imejaa ulaji wake unakuwa mzuri zaidi mkuu,Ila mafuta yakiwa machache ulaji unakuwa mkubwa Mkuu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kununua Crown ya 2,500 cc ni kuchezea hela. Bora ununue Ist. Kama unataka ku enjoy Crown, nunua ya 3,000. But make sure una gari nyingine ya kupigia misele. Hii inakuwa ya 'kubambia'.
 
Kwanini 3,000 na sio 2,500 ?
 
Back
Top Bottom