Recent content by Zx5

  1. Zx5

    Kuhusu payoneer

    Vp wakuu? Nauliza kama kuna mzoefu wa kutumia payoneer, ntaweza vp kuzitoa pesa kwenye card hii nikiwa apa tz?
  2. Zx5

    Wataalam wa hii mambo nielekezen

    Ultra web hosting
  3. Zx5

    Wataalam wa hii mambo nielekezen

    Nlinunua hosting kwenye kampuni moja na nililipia kwa njia ya card visa card, walinitumia invoice kuwa order ime be verified lakini nina muda karibu wiki mbili sasa kila nikiingia kwenye website yao wananiambia sina package yeyote, ila kuna sehem nikifungua nakuta ile order bado ipo pending apo...
  4. Zx5

    Make Tanzanians Receive Money with Paypal

    Ikitumwa wanaishughilikia vp?
  5. Zx5

    Kuhusu Tanzania kukubali malipo kwa njia ya paypal

    Me narun webstore nna mpango wakutafta uraia wa Kenya ili kuipata PayPal otherwise ni dash an apa tz utakufa njaa na hella unayo.
Back
Top Bottom