Recent content by zwangandaba

  1. Z

    Kile kikosi chetu Cha JW kilichowapa raha M23 mnamo mwaka 2013 Kiko wapi?

    Umeongea kitaalamu sio kishabiki. Hii kitu nimewahi andika kuwa this time SADEC imeingia kichwa kichwa . Kipigo na aibu waliyokutana nayo safari hii wataalamu wa hizi mambo tulishayatabiri tangu mwanzo. Watu wanajisahaulisha kwamba hawa M23 ni jeshi kamili la Rwanda lililo kamilika. Niliwahi...
  2. Z

    Waasi wa M23 Wateka Bukavu, Jiji la Pili kwa ukubwa Mashariki mwa DRC

    Wamejisalimisha kwenye kambi ya UN baada ya kuppkea kichapo. Tuliwaambia tangu mapema kwamba M23 ya sasahivi sio ile ya miaka ile. Watu wtu wakakomaza makomwe na kuendelea kutoa sifa za kijinga sijui oooh jwtz ilimpiga nduli Amini. Kwa sababu ya kukariri ,kwa mara ya kwanza vikosi vya SADEC...
  3. Z

    Mvua yakata mawasiliano Dar na Mikoa ya Kusini

    We tangu mvua za mwaka jana mpaka Leo mvua nyingine Yamuna kilichofanyika. Taifa linapata hasara kwa uzembe tu wala hotosikia yao Takukuru wala usalama wa Taifa kuchunguza uzembe huu. Hakika hapa Kuna kiongozi anahujumiwa
  4. Z

    Paul Kagame: Hakuna wa kunipa maelekezo, wanaodhani wana nguvu juu yangu hiyo haiwezekani. Sipendi uchokozi

    Kagame ameifanya Rwanda kuwa strong na tishio hawa Africa. Huyu mwamba hata marais wenzake wa Afrika wanamgwaya sana. Ana akili nyingi sana na ametengeneza jeshi lenye nguvu pengine kuliko jeshi lolote ukanda huu wa Afrika. Afrika wanatawaliwa na chuki na wivu kwa hatua anazopiga huyu bwana.
  5. Z

    2008-2025 JWTZ imezuia mapinduzi ya kijeshi ya Jeshi la Rwanda (RPF) mara 8 ndani ya Burundi

    Jw ilikuwa mji wa Sake kuzuia m23 wasifike Goma. M23 wameiteka Sake yenyewe iliyokuwa inalindwa na tayari Goma iliyokuwa inalindwa na mataifa zaidi ya 10 iko mikononi kwa M23 na sasa wanaelekwa Bukavu kwa kuvimba. Sasa jiulize hao walinzi wa sake wamekimbilia wapi? Majeshi ya serikali na...
  6. Z

    Jeshi la Congo na Burundi yaanzisha mashumbulizi jijini Goma dhidi ya M23.

    Unataka uthibitisho upi zaidi ya hiki kinachoendelea hapo DRC. Unafahamu ni mataifa mangapi yanapigana na M23/RDF? Mpaka dk hii majeshi ya kagame ya na tikisa. Wazungu wakukodi we yewe wameomba po, msauzi mwenyewe kauliwa askari wake na kakimbia kuokoa nafsi yake, Monusco kauliwa askari wake na...
  7. Z

    Jeshi la Congo na Burundi yaanzisha mashumbulizi jijini Goma dhidi ya M23.

    Hamna kazi hapo. Hakuna nchi yeyote ukanda huu anaeweza kukabilisna na Rwanda. Kwa SADC angalau Angola peke ake ndie mwenye afadhali kupiga beto na mnyarwanda. Nje ya SADc ni Ethiopia tu mwenye uwezo huo. Hao wengine ni kelele tu na mbwembwe na tambo za kitoto. Burundi tayari yuko DRC kitambo...
  8. Z

    Rais wa DRC CONGO atafuta uungwaji mkono huko Angola, aapa kuingamiza M23

    Ukiweka wanyarwanda pembeni katika uhodari wa kupigana vita, Wa Angola ni jeshi bora kivita sio kama hawa ma SADC wengine mikwara tu ila vita hawajui
  9. Z

    Kagame: Rwanda is ready for a confrontation with South Africa if necessary!

    Kumbuka JW wako kule ,kwa muziki huu wa m23 iliyoboreshwa wametumia busara kuwa watazamaji
  10. Z

    Kagame: Rwanda is ready for a confrontation with South Africa if necessary!

    Nakubaliana na wewe chief. Kagame hatumpendi lakini ana akili sana ya kupigana vita kuliko mtu yeyote Japa Afrika. Haipendezi kusema ila ukweli uko wazi kwamba jeshi la Rwanda Lina ubora wa hali ya juu kwa kuangalia tu mission wanazoshiriki. Kwa mgogoro na Rwanda namuona SANDF akidhalilika kwa...
  11. Z

    Kagame: Rwanda is ready for a confrontation with South Africa if necessary!

    Niliwahi kusema RDF ni jeshi Bora ukanda huu wa Afrika ila watu wasio jua mambo ya medani wakakaza makomwe na mapovu na kunitukana. Sawa hata kaka m23 wanapewa nguvu hii ya kupigana na majeshi zaidi ya 10 na kuteka maeneo mikononi kwa maadui zake ni dhahiri kuwa hawa RDF ni hatari kuliko...
  12. Z

    Lissu: CHADEMA ni kubwa kuliko CCM

    We utakuwa mwehu tu. Nyie ndio mnao amini katika wazungu kuliko kujiamini wenyewe. Hao wa liovaa suti hawapigi kura na hawana impact kwenye uchaguzi ila hawa wa chini waliovaa vijora ndio wanamweka rais madarakani. Na hao ndio muhimu. Ni mwehu Peke anaeweza kuwadharau wanamchi wake na...
  13. Z

    Magari ambayo unaweza kuendesha miaka 15 bila shida kubwa

    We ni maskini pia ila kujifaragua tu.Zaidi ya kumiliki gari za mitumba Gari mpya unaushia kuiona kwa TV tu. Unaweza kuta wewe ni fukara ila mwenzio maskini
Back
Top Bottom