Recent content by Zury

  1. Zury

    JamiiForums Tanzania Mapishi - program ya simu

    Kwangu imegoma, inakuja tu list ya vyakula ila nikiselect naambiwa application error
  2. Zury

    JamiiForums Tanzania Mjadala wa Ushauri na tiba ya maumivu makali ya tumbo wakati wa hedhi (dysmenorrhea)

    Tangawizi imenisaidia sanaaaa.daaa. asante dk.mzizi
  3. Zury

    JamiiForums Tanzania Ya Obama nimeipenda

    Hata jk anafanyaga hvohvo
  4. Zury

    JamiiForums Tanzania Msanii Amani wa Kenya...

    Aibu kwa msanii mkubwa kama yeye kufanya ujinga huu
  5. Zury

    JamiiForums Tanzania Salum Mkambara wa channel ten anaboa!

    Yan huwa anaboa sana
  6. Zury

    JamiiForums Tanzania Msaniii LULU new look, so hot huh?

    hehehe
  7. Zury

    JamiiForums Tanzania Msaniii LULU new look, so hot huh?

    Mzurii
  8. Zury

    JamiiForums Tanzania Naogopa kuficha maradhi

    nadhani magonjwa ya zinaa yanaweza kuambukizwa hata kwa matumizi ya vyoo vya jumuiya,sio lazima mkeo akawa sio mwaminifu.
  9. Zury

    JamiiForums Tanzania mke hataki kufanya sex,msaada plz

    Wanawake wanahitaji maandalizi kabla,sio kumshtukiza tu wakati usikute siku nzima mlikua hamna maelewano mazuri. Jaribu kumuandaa kwa siku nzima,muoneshe unamjali japo kwa kumpigia simu au kumtumia vi-msg vitamu ili awe na hamu na ww
  10. Zury

    JamiiForums Tanzania vichekesho bongo mmefulia????

    Mizengwe ya akina ------ bado wanachekesha na hawachuji
  11. Zury

    JamiiForums Tanzania vichekesho bongo mmefulia????

    yes kinyambe ni nouma,sipati picha akiwa kawaida anakuaje.
  12. Zury

    JamiiForums Tanzania Ritha Poulsen si mchezo

    umeona eeh! bora useme wewe,me nimeamua kumuacha na michuki binafsi yake
  13. Zury

    JamiiForums Tanzania Uke kutoa harufu kali(Vaginal Odor): Chanzo, dalili na tiba zake

    Zinaweza kuwa dalili za fungus,pia fungus husababisha maumivu wakati wa sex. nenda hospital wakakupime.usisahau kumpeleka na mwenza wako
  14. Zury

    JamiiForums Tanzania training signature holidays

    lol,niliambiwa ni wahindi,kumbe nao wana vituko
Back
Top Bottom