Recent content by zumbemkulu

  1. Z

    JamiiForums Tanzania Sumaye: Salaam za mwaka mpya kwa watanzania

    Kutoa salam za mwaka sio kosa kwa kiongozi kama huyu aliyeshika nyadhifa kubwa serikalini,
  2. Z

    JamiiForums Tanzania Sumaye: Salaam za mwaka mpya kwa watanzania

    Ndugu watanzania wenzangu, kabla ya yote napenda kumshukuru mwenyezi mungu kwa kutupa mwaka 2013 wenye mafanikio, amani na neema kwa watanzania. Niwatakie heri ya mwaka mpya 2014 wenye baraka na fanaka kwetu sote. Mwenyezi Mungu atupe yote tuyatakayo na kuyaomba watanzania
  3. Z

    JamiiForums Tanzania Salaam za sikukuu ya Noeli toka kwa Mh Sumaye

    Ametoka kwa watanzania wote sio watu wachache maana yeye ni kiongozi wa kitaifa mstaafu
  4. Z

    JamiiForums Tanzania Salaam za sikukuu ya Noeli toka kwa Mh Sumaye

    Sikukuu ya Noeli ni kumbukumbu ya kuzaliwa kwa mwokozi wetu yesu kristo,hii inatukumbusha mambo makuu matatu. Upendo, msamaha na upataniashi unaofanya na bwana yesu kati ya mungu na binadamu na hii inatufundisha kuwapenda na kuwahudumia wale wote wanaoishi katika mazingira magumu, kutoa misamaha...
  5. Z

    JamiiForums Tanzania Salaam za sikukuu ya Noeli toka kwa Mh Sumaye

    Sikukuu ya Noeli kama kumbukumbu ya kuzaliwa kwa mwokozi wetu yesu kristo inatukumbusha mambo matatu, Upendo, msamaha na upatanishi anaofanya bwana yesu kati ya mungu na binadamu. Nasi hii inatukumbusha kuwapenda na kuwahudumia wale wote walio kati ya mazingira magumu , kutoa misamaha kwa hali...
  6. Z

    JamiiForums Tanzania Nimekubali kuwa CCM ndicho chama pekee cha siasa

    Shime shime watanzania ccm ni chama dume
  7. Z

    JamiiForums Tanzania Pengo la usimamizi wa serikali la Frederick Sumaye laonekana

    Vitabu vitakatifu vimeandika asiye fanya kazi na asile,kutokana na kazi aliyoifanya kwa watanzania kwa miaka kumi ni dhairi anaitaji pongezi kubwa kwa umma wa watanzania hongera Mh Frederick Sumaye
  8. Z

    JamiiForums Tanzania Nimekubali kuwa CCM ndicho chama pekee cha siasa

    Tushirikiane kwa pamoja kujenga nchi yetu na chama chetu cha mapinduzi
  9. Z

    JamiiForums Tanzania Nimekubali kuwa CCM ndicho chama pekee cha siasa

    Uzuri wa ccm ni sera
  10. Z

    JamiiForums Tanzania Nimekubali kuwa CCM ndicho chama pekee cha siasa

    Ccm,ccm,ccm,ccm,ccm,ccm,ccm
  11. Z

    JamiiForums Tanzania Pengo la usimamizi wa serikali la Frederick Sumaye laonekana

    Imani huzaa imani hongera sana Mh sumaye
  12. Z

    JamiiForums Tanzania Nimekubali kuwa CCM ndicho chama pekee cha siasa

    Vivaaaa chama cha mapinduzi
  13. Z

    JamiiForums Tanzania Mh Sumaye tunakukumbuka

    Mh sumaye hajaliibia Taifa hili,utumishi wake na utendaji wake ndio ishara ya kuwa alikuwa na hofu ya mwenyezi mungu juu ya mali za umma angaliweza kujilimbikizia mali katka kipindi chote cha utawala wake lakini hakuwa na sababu ya kuliibia Taifa hili
  14. Z

    JamiiForums Tanzania Mh Sumaye tunakukumbuka

    Mtendaji mkuu wa shughuli zote za serikali ni waziri mkuu,
  15. Z

    JamiiForums Tanzania Watanzania waliosoma Havard

    Mh Frederick Tluway Sumaye waziri mkuu mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania . Kuanzia 1995-2005
Back
Top Bottom