Sumaye: Salaam za mwaka mpya kwa watanzania

Sumaye: Salaam za mwaka mpya kwa watanzania

zumbemkulu

Member
Joined
Dec 6, 2013
Posts
52
Reaction score
5
Ndugu watanzania wenzangu, kabla ya yote napenda kumshukuru mwenyezi mungu kwa kutupa mwaka 2013 wenye mafanikio, amani na neema kwa watanzania. Niwatakie heri ya mwaka mpya 2014 wenye baraka na fanaka kwetu sote.

Mwenyezi Mungu atupe yote tuyatakayo na kuyaomba watanzania
 
Sumaye alishachoka siku nyingi sana. Anajaribu kulazimisha umaarufu wa kisiasa lakini wapi.
Huenda labda hii ni dalili ya kuchanganyikiwa kisiasa, kukatamaa kisiasa nk.

Miaka kumi ya Uwaziri Mkuu hakutupa salamu za mwaka mpya, sasa leo anakurupuka!!
 
Kutoa salam za mwaka sio kosa kwa kiongozi kama huyu aliyeshika nyadhifa kubwa serikalini,
 
Back
Top Bottom