Recent content by Zulu Man Tz

  1. Zulu Man Tz

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha kushuka thamani kwa pesa ya South Africa, Rand kwa cent zaidi ya 30 dhidi ya USD$

    Hoja Nzito sana hii kunywa soda mkuu 🙏
  2. Zulu Man Tz

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha kushuka thamani kwa pesa ya South Africa, Rand kwa cent zaidi ya 30 dhidi ya USD$

    Umenikumbusha mzee wa ruksa haha
  3. Zulu Man Tz

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha kushuka thamani kwa pesa ya South Africa, Rand kwa cent zaidi ya 30 dhidi ya USD$

    Ebu tufafanulie apo Mkuu kwa manufaa yao ya cold War kivipi maana Urusi kama Urusi haijwahi kumkoloni Mwafrika katika kuongeza thamani ya Nchi yake kama ilivyo Uingereza
  4. Zulu Man Tz

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha kushuka thamani kwa pesa ya South Africa, Rand kwa cent zaidi ya 30 dhidi ya USD$

    Na viongozi nguli wa Afrika walikuwa wamelalia kwny sera za Urusi waliuwawa Haile Selassie, Muamar Ghadaffi, Patrick Lumumba, Kwame Nkrumah Marekani wanawachagulia waafrika watu wakushirikiana nao daaah 💔
  5. Zulu Man Tz

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha kushuka thamani kwa pesa ya South Africa, Rand kwa cent zaidi ya 30 dhidi ya USD$

    Ndio maana the late Mwlm Nyerere aliyakata haya ya structure adjustment program (SAP) mikopo ya IMF na WB bado changamoto maana waendeshaji na wenye control ni USA
  6. Zulu Man Tz

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha kushuka thamani kwa pesa ya South Africa, Rand kwa cent zaidi ya 30 dhidi ya USD$

    Let us see mambo yatakavyoenda
  7. Zulu Man Tz

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha kushuka thamani kwa pesa ya South Africa, Rand kwa cent zaidi ya 30 dhidi ya USD$

    Ila bado inakuwa misused ila ndio lazima tuyanywe😂
  8. Zulu Man Tz

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha kushuka thamani kwa pesa ya South Africa, Rand kwa cent zaidi ya 30 dhidi ya USD$

    Balozi wa Marekani nchini Afrika Kusini Reuben Brigety alisema siku ya Alhamisi Tarehe 11 May 2023 kuwa ana uhakika kwamba meli ya Urusi chini ya vikwazo vya Marekani ilichukua silaha kutoka kambi ya Simon's Town mwezi Disemba, akipendekeza uhamisho huo hauendani na msimamo wa Pretoria wa...
  9. Zulu Man Tz

    JamiiForums Tanzania Tungekuwa na Wabunge Wazalendo na Wenye Weledi wasingekubali Ripoti ya CAG kutojadiliwa kwanza

    Hawa washenzi bado wanalindana tuu🤔, taxpayers watazidi kukimbia Kodi hakuna transparency ya matumizi ya Kodi za maskini. Halafu kinasimama kiwaziri Cha💰 anasema walipakodi active ni watumishi wa Umma ametudharau sana huyu tujadiliane uganga kwelii eti Uchumi unaprofessional waendelee kutudinya
  10. Zulu Man Tz

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli Picha ya Yesu ni mzungu halafu picha ya Shetani ni mtu mweusi?

    Nashukuru kaka🙏, maana utumwa ulituharibu, dini nazo zikatugawanya, ujinga umetucontrol na tukitaka kuujua ukweli tunaogopa 💔
  11. Zulu Man Tz

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli Picha ya Yesu ni mzungu halafu picha ya Shetani ni mtu mweusi?

    Achana na wazungu washenzi wale ndio maana iliandikwa usijifanyie picha wala masanamu kwa mfanano wa yaliyopo Mbinguni. Historia inasema Yesu kristu si mzungu bali ni alikuwa ana asili ya Palestina akiwa na nywere nyeusi na skin dark colour, hii inajidhiirisha kwny picha za makanisa ya Orthodox...
  12. Zulu Man Tz

    JamiiForums Tanzania Uzinduzi wa Mchakato wa Maandilizi ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050

    Ok sawa vyovyote utakavyoniita nitapokea majina yako, ila lengo langu sio kama naisifia Serikali ya CCM hapana naonyesha mipango yao. Maana CAG kichele, anazidi kuibua mambo uko😂 aliyekuwa IGP Sirro ambaye sasa ni balozi Nchini Zimbabwe anahusishwa na Billions 4.8 za mfuko wa maafa
  13. Zulu Man Tz

    JamiiForums Tanzania Uzinduzi wa Mchakato wa Maandilizi ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050

    Ok sawa vyovyote utakavyoniita nitapokea majina yako, ila lengo langu sio kama naisifia Serikali ya CCM hapana naonyesha mipango yao. Maana CAG kichele, anazidi kuibua mambo uko😂 aliyekuwa IGP Sirro ambaye sasa ni balozi Nchini Zimbabwe anahusishwa na Billions 4.8 za mfuko wa maafa.
Back
Top Bottom