Bother aina hizi za mkombora haziwezi kufika Israel zikiwa katika hali hiyo ...ipo hivi makombora ya Iran yanaenda kwa mfumo wa rocket... rockets zinatumika kusafirisha kombora mpaka nje ya dunia huko outer space mzee...ukiona unaliona kombora angani maana yake tayari limeshagawanyika...ile...
Wazee hivi Iran hana nuclear kweli? Mnaziona tabia za Iran siku hizi? ...unajua jamii za kimataifa zinasubiri atest ndio zitaamini..ila binafsi naamini Iran atakuwa ana mabomu madhara tayari.. sababu ni hizi.
1.aliyetoa fatwa ya kutokuwa na bomu ni ayatollah Sayid Khamenei ameshafariki.
2 mtoto...
Kabisa..kuna jamaa nilikuwa namwambia leo asubuhi kuwa marekina Israel wamebadili mbinu wanaodhoofisha Iran slowly...Iran atakuja kustuka amekuwa dhaifu kabisa...the only way ni yeye kubwa aggressive kama Israel tu anavyokuwaga
Sioni Marekani akiipiga leo Iran huo vita mzee haiwezi kuamuliwa kwa kushambuliana hivyo..lazima watu wakae mezani ..iran ameshasema maelrekani wakipiga na wao wanapiga sehem za nishati za FCC
Ni nadhani geo politics bado hatujui vizuri .
.lini ulisikia Iran and amua nchi jirani?
Nan aliyeanza kumvamia mwenzake? Ni kama wewe upo kwako anakuja mtu ana kupiga makofi mbele ya mkeo wewe utakubali?
Iran amezungukwa na kambi 26 za Marekani miaka zaidi ya ishirini...nani amemfuata mwenzake...
Jamaa mwongo sana huyu, bro unatumia source gani mbona hiyo milipuko mikubwa upo kwa Iran tu...adi useme upo biased ndo unaanza kutoa updates za Iran hahahaha mzee wa milikupo mkuubwaaa
Ivi huyu jamaa wa mlipuko mkubwa anadanganya sana japo zingine ni za kweli.kama kila anachokisema kingekuwa kweli tangu ameanza kutoa taarifa bas Iran sasa hivi ingekuwa ni majibu..huyu ni pro.
... kurudisha SNAPBAC sasa kuhofia kurudishiwa kikwazo wakatambua kuanzisha tena mahusiano chini ya mwamvuli maalum...lakini sasa kwa kuwa baraza la usalama na E 3 wameshafanya uamuzi wa kurudisha kikwazo bas waziri wa mambo ya kigeni wa Iran alisema kuwa wakirudisha kikwazo rasmi wao watajitoa...
Mkuu kama unakumbuka Iran kupitia bunge walipitisha muswada wa kuacha ushirikiano wa IAEA lakini baada ya kelele za ku maarifa ya ulaya kutaka kuridiha
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.