Recent content by zukisa

  1. zukisa

    Napata maumivu kifuani nikimeza maji au Chakula

    kweli mkuu? lakini tumbo haliniumi
  2. zukisa

    Napata maumivu kifuani nikimeza maji au Chakula

    Habari za sahizi wana JF. Nimekua nikipata maumivu makali sana ya kifua upande wa kushoto nikiwa nameza chakula au kimiminika chochote. Tatizo hilo limeambatana na vichomi hapo hapo kifuani, kwenye mabega, mkono pamoja na mgongo upande huu huu wa kushoto, na ata nikiwa nacheua pia nasikia...
  3. zukisa

    Jifunze kilimo cha nyanya

    sawa mkuu nashukuru sana
  4. zukisa

    Jifunze kilimo cha nyanya

    basi vimenitia hasara sana hivyo., mwanzo nilidhani hakuna maji ya kutosha basi nikawa nakadhana kuweka maji mengi.
  5. zukisa

    Jifunze kilimo cha nyanya

    vipo Mkuu vingi sana., sasa nitumie dawa gani?
  6. zukisa

    Jifunze kilimo cha nyanya

    msaada tatizo la maua kukauka., kama ni maji naweka ya kutosha ila sijajua tatizo ni nini hasa. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. zukisa

    Jifunze kilimo cha nyanya

    Sawa Mkuu ninashukuru sana. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. zukisa

    Jifunze kilimo cha nyanya

    Mkuu, nimelima nyanya mbegu nimetumia Imara F1 kutoka east west seeds company., vipi hii aina ya mbegu sokoni inafanya vizuri? Sent using Jamii Forums mobile app
  9. zukisa

    Tour fupi ya shamba langu la greenhouse

    sijakuelewa hapo Biashara2000 hiyo laki na nusu inajumuisha na mbegu au miche? Sent using Jamii Forums mobile app
  10. zukisa

    Nimekua nikipata muwasho kwenye mapaja baada ya kuvua suruali

    Unaowasha sio ukurutu Mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  11. zukisa

    Nimekua nikipata muwasho kwenye mapaja baada ya kuvua suruali

    Ni kweli Mkuu, now navaa mabwanga nimepata afadhali kidogo Sent using Jamii Forums mobile app
  12. zukisa

    Nimekua nikipata muwasho kwenye mapaja baada ya kuvua suruali

    [emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
  13. zukisa

    Nimekua nikipata muwasho kwenye mapaja baada ya kuvua suruali

    Sawa mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom