zukisa
Member
- Feb 8, 2017
- 47
- 28
Habari za sahizi wana JF na poleni na majukumu ya kutwa nzima leo.
Naombeni msaada katika hili.
Nimekua nikipata muwasho sana kwenye mapaja baada ya kuvua suluari/tight na nikiwa najikuna natokewa na vipele kama vile vya kung’atwa na mbu. Nimetumia dawa aina ya SONADEM lakini naona tatizo bado linaendelea.
Msaada tafadhali
Sent using Jamii Forums mobile app