Recent content by Zuberih

  1. Zuberih

    Naomba kutajiwa kikosi Cha Mlandege kilichoanza kwenye mechi ya fainali ya CECAFA 1998

    Kwa mwenye kumbukumbu naomba anitajie kikosi Cha Mlandege kilichoanza kwenye mechi ya fainali ya CECAFA 1998 dhidi ya Rayon sports ya Rwanda.
  2. Zuberih

    Sheria za kazi

    Kwahiyo sikuwahi kuajiriwa na malipo walikua wananipa tu mkononi,,,
  3. Zuberih

    Sheria za kazi

    Ilikua kila nikiulizia suala la ajira nazungushwa tu tangu 2007,,
  4. Zuberih

    Sheria za kazi

    Kama nikikwama itabidi nisonge hadi wizara ya kazi
  5. Zuberih

    Sheria za kazi

    Poa mkuu ,,ngoja sikukuu zipite niende huko
  6. Zuberih

    Sheria za kazi

    Shukran....ofisi zao zipo wapi?
  7. Zuberih

    Sheria za kazi

    Mbona hamnipi maelekezo??
  8. Zuberih

    Asha Mkwizu Hauli-Na kesi ya kumuua hawara wa mumewe

    Alikua rafiki mkubwa sana wa mama yangu,,hata alivyotoka jela alikuja hadi nyumbani na hapo mm ndipo nilipomjua rasmi,,mwanzon nilikua naiskia tu hiyo story kwani tukio wakati linafanyika 1983 nilikua na mwaka mmoja tu
  9. Zuberih

    Asha Mkwizu Hauli-Na kesi ya kumuua hawara wa mumewe

    Hayupo kule kwasasa,,alihama baada ya kuona watu wanamtenga,,,nitumie FB account yako nikuunganishe na watoto wa kaka zake ambao nimesoma nao shule ya msingi wanaweza kukujuza alipo kwasasa
  10. Zuberih

    Asha Mkwizu Hauli-Na kesi ya kumuua hawara wa mumewe

    H Ninavyokwambia hivyo Nina uhakika 100%,,huyu mama kwao na kwetu ni jirani kule wilaya ya moshi vijijini,jimbo la vunjo,kata ya makuyuni kitongoji cha saghana,,,yupo hai mpaka Leo,,
  11. Zuberih

    Asha Mkwizu Hauli-Na kesi ya kumuua hawara wa mumewe

    Mama huyu aliachiwa huru kwa msamaha wa rais mwaka 1995
  12. Zuberih

    Asha Mkwizu Hauli-Na kesi ya kumuua hawara wa mumewe

    Huyu mama alitoka jela msamaha wa rais waka 1995,,akaja hadi moshi kwa kaka yake aitwaye Yahaya mkwizu_lakini pale hakukaa sana kwani alikua anadai kwamba majirani wanamwogopa na hawampi ushirikiano,,,akahama pale kijijini na tangu hapo sijui alipokwendaga hadi leo
  13. Zuberih

    Sheria za kazi

    Naombeni msaada wenu kwa anayefajamu,,Mimi nimefanya kazi kwenye kampuni moja ya wahindi kwa miaka 12 bila kuajiriwa wala kukatiwa NSSF kuanzia march 2006 hadi November 2017,,sasa wameniachisha kazi bila kunilipa chochote,,sasa je kisheria hapo inakuaje,? Naweza kudai Haki zangu kwa njia...
  14. Zuberih

    Sheria za kazi

    Nimefanya kazi kampuni moja wa wahindi tangu mwezi wa tatu mwaka 2006 hadi November 30 mwaka huu kwa kipindi chote hicho sikuajiriwa wala kukatiwa NSSF Leo,,kwa sasa wameniachisha kazi,,je naweza kudai Haki zangu za zaidi ya miaka 11 na miezi 8 niliyofanya kazi pale,, au kisheria inakuaje...
Back
Top Bottom