Heshima kubwa kwako, Professional iliyotukuka na unayoifanyia kazi umeona capabilities za hao staff watatu na unataka kuutilise experience zao kwa manufaa ya taifa
Kiuhalisia siasa za nchi yangu nishazichoka kama PCCB wanasema kua ushahidi umeharibiwa na siasa au haujitoshelezi. Tunawaomba muutoe kwetusisi wananchi personal nitauangalia hope na wenine watafanza hivyo, sio hizi kelele za tutatoa sijui nini hazitusaidiee tushaahidiwa sana tumechoka ahadi...
Hata mimi nakubaliana na wew kua ni exempt till now hadi bill ipite, do you remember hata salary ya Presidaa na mawaziri na wabunge before ilikua exempt hadi presi alivyoshauri ipigwe kodi, so hata nao hii bill kupitishwa itakua kama update. Ingawa mimi na wew hatuipendi coz itapunguza our...
Mkuu mimi tatizo langu ni hapo mnaposema kuna double taxation. Ambalo kwangu nasema no double taxation ingawa hata mimi sihitaji hii bill ipite coz benefit ya exempt itanisaidia pension yangu isiwe na kodi hata kidogo
Hua sipendi kumuita muongo mtu, pale ambapo tunabishana kwa hoja namwambia njoo tupate suluhu ama wew au mimi nimekosea.
Kwenye calculation ya Pay As You Earn hua inakwenda kwa mtiririko huu.:
Basic Salary + Overtime= Gross Salary
Contribution to Pension fund by both (Employee and Employer)=...
Ok. Tuanzie hapo juu unapozungumzia PAYE.
Hembu niambie mpaka unapata Pay As You Earn calculation zipoje maana tuanze kwa kuelekezana labda tutajua namna ya kujenga hoja na hawa wana siasa wetu ambao sijui hawajui au wanafanya makusudi???
Maana kwa upande wangu hakuna double taxition hapo.
Mkuu hiyo mwanzo palikua na non-compliance ya sheria hembu niambie kuna sehemu ambayo unambiwa mtu ana derive income alafu halafu hakatwi kodi???
Kiuhalisia kwa namna kodi ilivyo ingekua ni kwa matakwa yangu nisingelipa ila kwavile ni matakwa ya kisheria we have to comply with it.
So ni kusema...
Mkuu nikuombe ufanye jambo moja kama ni muajiriwa hembu jaribu kupitia salary slip yako na ufanye calculation vizuri na uniambie.
Kwamba Contribution to Pension fund ni taxable or not.
Yakuambiwa boss changanya na yako
Duh wanasiasa wanatupotosha sana, na kwenye maswala ya kodi zitto ni muongo sana na anazidi kuwa muongo sijui hajui au anafanya makusudi kupata kiki haya.
Hembu tuulizane hapa wanakataje mara 2 tuone kama kuna atakaye kuja na majibu???
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.