We nawe kama zwazwa Kila siku USA c ndio inaanza mashambulizi yenyewe ? Asa Iran kuanza cku moja tuh unamuona mchokozi ..ulitaka Kila cku asubirie kupigwa ndio apigwe
Umekosea mkuu
Kuna makundi mengi yamenufaika na rais na yameona mchango wake
Pia kuna makundi ambayo hayajaona mchango wake.wote hatuez kua sawa
Mfano
Mkulima kapata mbolea ya ruzuku
Mazao kafikisha mpk sokoni barabara ikiwa safi tokea eneo lake
Sokoni kakuta bei imeongezeka samani..wazani huyu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.