Watanzania tunapenda Sana kulaumu, kupata mkopo sio lazima na ndio maana ile fomu Ya mkopo kwa chini kunamaandishi inabidi usaini kwamba mkopo unaweza kupata au usipate
Kwamkataba ule tu tayari umejifunga,
Hatukatai watoto wa maskini inahtaji sapoti ila tu tutambue sio kuwa mkopo sio haki yako...
Watanzania tuache zile zama za ujinga eti chuo cha udom cha kata,
Kwani chuo cha Kata hakifundishi wangap msesoma shule za Kata na mmefaulu vzuri
Kuna ajabu gani mtu kusoma chuo cha kata
Dhana ya GPA pia sio kigezo maisha saiz akili yako tu na ufanisi wako kuna watu wana Big GPA na bado wapo...
Hapa sheria ichukue mkondo wake tu, hii ni kinyume na haki za binadamu hata school corporal punishment hairuhusu kufanya hivo, na hilo ni shambulio Kama mashambulio mengine
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.