Recent content by zombie_og

  1. Z

    JamiiForums Naomba mwenye kuyafahamu mashirika yanayopokea na kufadhili miradi mbalimbali

    Acha siasa hakuna ambaye hana idea za miradi mbali mbali kama unavyosema mm nakushauri nenda maeneo ya iringa vijijini huko katagute shamba ukime upate Capital uje ufanye hicho unachosema ni cha moto kwenye hivyo vitano[emoji23]
  2. Z

    JamiiForums Sisi wenye GPA chini ya < 2.8 tunatumia njia gani kupata scholarships za nje ya nchi

    Kila chuo kina utaratibu wake nakupa picha ya moja kwa moja upate mwangaza tu Vyuo ving vya bara la Asia huw hawazingatii baadh ya mambo haya Gpa kwhy it's yo tyme kufatilia subir dirisha la Study in India lifunguliwe au kule china ni Kitonga sana utapata mkuu jitahidi kuw mfatiliaji mzuri...
  3. Z

    JamiiForums Sisi wenye GPA chini ya < 2.8 tunatumia njia gani kupata scholarships za nje ya nchi

    Scholarships utapata tu ndugu yang usijal sababu vigezo huw sio GPA pekee hvy usijal kikubwa uwe vzr zaid Kweny kujitetea linapokuja swala la hizo requirements nyingine Kam Sop, PS , RL na Recommend letter yako then unapata haijalish upate Full Funded au Partial mzee
  4. Z

    JamiiForums Msaada: Nawezaje kupata Scholarship kwenda kusoma masters Marekani?

    Vyuo vya America na Europe complications ziko nyingi sana sababu competition ni kubwa watu wengi wanapendelea kwenda kusoma nchi za Europe sabb kuna fursa sana hapa nazungumzia Part time jobs......utaratibu huw ni kufanya kazi masaa yasiyozid 20 kwa week kwa mataifa mengi pale Europe yaani 4 hrs...
  5. Z

    JamiiForums Msaada: Nawezaje kupata Scholarship kwenda kusoma masters Marekani?

    Mm pia nafatilia hii kitu mna idea kidog bye next year nimeplan kwenda Abroad Mungu asaidie uhai pia mambo yaende kama nilivyo plan What I know ni kwamba scholarships zipo tena zipo nyingi mnoooo it depend na ww unataka ya aina gani Kam ulivyosema apo awali kubwa hata Partial ukipata ni...
  6. Z

    JamiiForums Msaada wa mawazo ya kuanzisha biashara

    Tatizo sina friji kaka Idea nyingine???
  7. Z

    JamiiForums Msaada wa mawazo ya kuanzisha biashara

    Kwa hapa Dar es salaam kuna mzunguko mkubwa sana wa watu kwa 800,000 maeneo ya Mbagala naweza fanya biashara gani ninaweza kuingiza walau 20k au 15k faida kwa siku? Ushauri wenu please guyz
  8. Z

    JamiiForums Mtu ambaye hajafanya muda mrefu na anayefanya mara kwa mara, show ipi inaweza kuwa nzuri zaidi

    Zombie ni jina tu kama [emoji23][emoji23][emoji23]
  9. Z

    JamiiForums Mtu ambaye hajafanya muda mrefu na anayefanya mara kwa mara, show ipi inaweza kuwa nzuri zaidi

    Nina demu Wang mmoja natarajia kufanya nae tendo mwanzoni mwa mwezi wa 12 Sasa binti mwenyew amekuw ni mtu wa kunitishia San kuwa yeye anajua Sana Mambo Yani ni fundi haswa Sasa wasiwas wangu ukawa mkubwa Sana nikihofia kucheza chini ya kiwango japo natumia Vumbi la kongo kama kawaida laini...
  10. Z

    JamiiForums Mtu ambaye hajafanya muda mrefu na anayefanya mara kwa mara, show ipi inaweza kuwa nzuri zaidi

    Nina demu wangu mmoja natarajia kufanya nae tendo mwanzoni mwa mwezi wa 12 Sasa binti mwenyewe amekuwa ni mtu wa kunitishia Sana kuwa yeye anajua Sana Mambo Yani ni fundi haswa Sasa wasiwasi wangu ukawa mkubwa Sana nikihofia kucheza chini ya kiwango japo natumia Vumbi la kongo kama kawaida...
  11. Z

    JamiiForums Wadada mliowahi kutafuta wachumba JF na kupata njooni hapa

    Eti hili suala la wadau wenzetu wa forum kutafuta wachumba humu hiv huwa mnafanikiwa kwa kiasi gan maan naona vijana wapo live sana huku mkiorodhesha sifa za aina ya mademu na wachumba wanaowataka eti nisaidieni hili ili kama inalipa na mm nijikite maana Niko single...
Back
Top Bottom