Nimesoma katika gazeti la Mwananchi leo, nikajikuta nasistushwa sana na kauli ya Mwigulu Nchemba, kwamba watumishi wengi wa umma wanatumia muda mwingi kazini kushabikia siasa hasa vyama vya upinzani badala ya kufanya kazi, na hivyo kukwamisha utekelezaji wa ilani ya CCM. Na anaonya kuwa...