Recent content by Ziro Fafa

  1. Z

    Nimemsikia Rais vibaya au nilikuwa naota? Eti wawekezaji Tanzania watapewa Tax Holiday!!

    Ninatamani JF watuwezeshe kuwa tuna-LIKE zaidi ya mara moja
  2. Z

    Rais Magufuli atoa msaada wa magari ya kubebea wagonjwa kwa wabunge wa Nkasi, Tabora na Shinyanga

    Hivi ametoa msaada au ametimiza wajibu wake, hiyo pesa si ni kodi zetu?
  3. Z

    Ugaidi Tanzania Unafanikiwa

    Sijawahi kuona umeandika kitu cha maana. Kwani uzinduzi wa ujenzi wa reli ndiyo dawa ya ugaidi unaoendelea..? unataka tujali reli badala ya usalama wetu? Shame on you...
  4. Z

    Mahakama Kuu yatengua Hukumu ya Mbunge wa Kilombero, Peter Lijualikali

    Hii siri-kali inaendelea kujivua nguo tu
  5. Z

    Mc Pilipili anastahili kutunukiwa PhD

    Wewe itakuwa ndiyo pilipili yenyewe unatafuta kiki tu hapa mxyuuuuu...
Back
Top Bottom